TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

Ok
Sasa buyobe ni mdogo sana kwangu
Mm nimejiunga hapa 2009 may
Yeye je?
Mm ni bro kabisa kila upande..msinilinganishe na yoyote...kiustaarabu nina miaka 15 hapa JF bado wiki kadhaa and mnanifananisha na vijana wenzenu!
,Ila alichoandika kule twitter ni kile kile ulichoandika wewe hadi nukta.
 
Ni kweli umeelezea vizuri.
Dhambi ya dhuruma ili dhrumat asamehewe huwa anatakiwa kurejesha alichodburumu kwa alowadhurumu pamoja na riba.
Yani ndio maana haisemi rejesha mara moja la hasha ni huwa ni zaidi ya ulichodhurumu.
Utarejesha mara 10 ya kile ulichodhurumu kwa watu.
Mwenyezi Mungu anachukizwa mno na dhambi ya dhuruma.

Na malipo yake nayo huwa hayachelewi hapa Duniani na malipo ni hivyo hivyo in multiplications.
Utadhurumu 3 utaapoteza 30 😛😛

Mungu ni zaidi ya fundi.
Nikweli,nimeona sehemu mzee alifiwa na wanawe wote wa kiume,na mmoja ni teja yupo hongkong
 
Sina imani kama wewe

Wewe ndio unatuaminisha unacho amini wewe

Nikuulize tu Bwana Kitali,tupo hapa tuna discuss mambo ya kidunia,tunatoa hoja za kidunia....yanini umetumia imani zako binafsi za kidini kudiscuss mjadala huu ambao hauhusiani na dini kabisa?

Kulikua na haja gani?

Kama sio kujawa na extremism ya ushenzi wa dini tu

Halafu unadhani kila mtu anajua what the fvck is BIBLE?au Yesu?au Mungu?

Christians are worst people
Dini (masuala ya imani) i(ya)kikolea sana inakua kama kauchizi fulani hivi
 
Jamaaa alikuwa mtu wa front kweli kweli enzi zake lakini baadae akaacha akawa mlokole fulllll kabisana na mpaka anafariki pale kwake Mwenge ilipokuwa Tarakea Restaurant ni Kanisa wanapiga sebene za kanisani balaa, kwa Mbao na Hardware alikuwa pia mwamba Mwenge nzima alikuwa yeye ndio kiboko. Watu wengi wa namna yake wanakuwaga na machale mwishoni wanashtuka na kuacha njia zao mbaya, mfano yule Mwenye Victoria Petrol Stations na yeye alikuwa wale wale baada ya kuzipata akaamua kuacha uovu na kuwa mtu wa Mungu, ndiomaana kila kwenye kituo chake cha mafuta juu kuna kanisa. Ila kimsingi adhabu ya Kabri na Hukmu ni juu ya Mwenyezi Mungu sie waja wote hatujui, ila chamsingi tutende mema tu.
Mkuu PAMOJA na yote nachojua Yesu akikupenda Mali yote ya dhuluma hutoweka.na kuanza na upya na huo ndio wokovu sasa.
 
Bro humjui huyo mzee. Nenda mahakama ya ardhi pale kinondon ulizia ana kesi ngapi za kudhulumu ardhi. Pale mbezi kamdhulumu mama mmoja mjane mpaka amekufa juz juz hajapata haki yake. Ninachosema umeokoka tangaza kama kuna mtu nimemdhulumu au kumuibia aje nimrudishie chake Mzee. hakuna Mungu anaeibia watu haki zao . Mali nyingi kaachia kanisa acheni utan nyie. Kaachia taasisi au kanisa? Mzee mpaka kisukar kinamzidia alikuwa anawadhulum watu.
Na kisukar Ni magonjwa ya Misri siyo ya Israel
 
Ni kweli umeelezea vizuri.
Dhambi ya dhuruma ili dhrumat asamehewe huwa anatakiwa kurejesha alichodburumu kwa alowadhurumu pamoja na riba.
Yani ndio maana haisemi rejesha mara moja la hasha ni huwa ni zaidi ya ulichodhurumu.
Utarejesha mara 10 ya kile ulichodhurumu kwa watu.
Mwenyezi Mungu anachukizwa mno na dhambi ya dhuruma.

Na malipo yake nayo huwa hayachelewi hapa Duniani na malipo ni hivyo hivyo in multiplications.
Utadhurumu 3 utaapoteza 30 😛😛

Mungu ni zaidi ya fundi.
Neno ni dhuluma siyo dhuruma
 
Back
Top Bottom