TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

Huwa napenda sana hizi stori za utafutaji kimafia za madingi.
Nikimtazama Huyu mshua kwa hii picha mmeweka hapo, naona wazi mshua amekwenda ameshiba miaka na ana mvi zake. Kwa sura yake hii atakuwa kwenye late 60's or early 70's. . 😁
Pumzika Mzee ukute hata iyo pepo haipo ni kiini macho tuu. 😁
 
Huu ni uongo,babu Sambeke ni billionaire Msuyu aliuawa na mabillionaire wenzake na walihukumiwa kunyongwa hadi kufa.Aliyekufa kwa ajali ya ndege ni billionaire Mawala
Haya tuambie Bob Sambeke unayesema ni Billionaire yuko wapi kwa sasa?
 
IPTL ipo Salasala na shule za Lesheya zipo Salasala pia na siyo Tegeta.
Sema Mzee alikuwa tapeli wa Viwanja sana pamoja Bujugo wa Green Acres schools!
nomaaa. basi alale panapofaa. tujitahidi ili tuwe na mwisho mema.
 
Sijuu
Nimekujibu kwa namna ulivyoandika. Rudi mwenyewe kwenye post yako kasome kwanza.

Nanukuu "Huu ni uongo,babu Sambeke ni billionaire,"

Ina maanisha Bob Sambeke bado yuko hai


Ila kama uliishia la 7 B, utaendelea kubisha.
Sijui mwalimu wako alikufundisha nini,ulipoona ni billionare ukaishia hapo siyo ? Ningeongea mengi ila,ngoja nikuache.
 
Back
Top Bottom