,Ila alichoandika kule twitter ni kile kile ulichoandika wewe hadi nukta.Sasa buyobe ni mdogo sana kwangu
Mm nimejiunga hapa 2009 may
Yeye je?
Mm ni bro kabisa kila upande..msinilinganishe na yoyote...kiustaarabu nina miaka 15 hapa JF bado wiki kadhaa and mnanifananisha na vijana wenzenu!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo kafungua Code mwenyewe.
Au ka Copy na Ku paste kwa kuunganisha replies za watu humu ili kutengeneza thread ya kutufanya tusogelee telegram.
Wana familia watakupa majibu mkuu.Kwani anazikwa wapi?
Kuna jamaa yeye ni mchaga, lakini kwenye nyumba yake hataki kupangisha mchaga, sijui kwannAmeliza watu wengi sana halafu anajifanya mlokole
Madili !R. I. P Workmate... tumefanya madili mengi sana... kweli kifo hakina bondia
Nikweli,nimeona sehemu mzee alifiwa na wanawe wote wa kiume,na mmoja ni teja yupo hongkongNi kweli umeelezea vizuri.
Dhambi ya dhuruma ili dhrumat asamehewe huwa anatakiwa kurejesha alichodburumu kwa alowadhurumu pamoja na riba.
Yani ndio maana haisemi rejesha mara moja la hasha ni huwa ni zaidi ya ulichodhurumu.
Utarejesha mara 10 ya kile ulichodhurumu kwa watu.
Mwenyezi Mungu anachukizwa mno na dhambi ya dhuruma.
Na malipo yake nayo huwa hayachelewi hapa Duniani na malipo ni hivyo hivyo in multiplications.
Utadhurumu 3 utaapoteza 30 😛😛
Mungu ni zaidi ya fundi.
Safi sanabana....plus umri wako ni mali yako binafsi,it got nothing to do with anyone else,and who cares anyways?
Dini (masuala ya imani) i(ya)kikolea sana inakua kama kauchizi fulani hiviSina imani kama wewe
Wewe ndio unatuaminisha unacho amini wewe
Nikuulize tu Bwana Kitali,tupo hapa tuna discuss mambo ya kidunia,tunatoa hoja za kidunia....yanini umetumia imani zako binafsi za kidini kudiscuss mjadala huu ambao hauhusiani na dini kabisa?
Kulikua na haja gani?
Kama sio kujawa na extremism ya ushenzi wa dini tu
Halafu unadhani kila mtu anajua what the fvck is BIBLE?au Yesu?au Mungu?
Christians are worst people
😃😃 Watumishi ni watu wa mishemisheikiwezekana wao wanapiga kimyaaa
Mkuu PAMOJA na yote nachojua Yesu akikupenda Mali yote ya dhuluma hutoweka.na kuanza na upya na huo ndio wokovu sasa.Jamaaa alikuwa mtu wa front kweli kweli enzi zake lakini baadae akaacha akawa mlokole fulllll kabisana na mpaka anafariki pale kwake Mwenge ilipokuwa Tarakea Restaurant ni Kanisa wanapiga sebene za kanisani balaa, kwa Mbao na Hardware alikuwa pia mwamba Mwenge nzima alikuwa yeye ndio kiboko. Watu wengi wa namna yake wanakuwaga na machale mwishoni wanashtuka na kuacha njia zao mbaya, mfano yule Mwenye Victoria Petrol Stations na yeye alikuwa wale wale baada ya kuzipata akaamua kuacha uovu na kuwa mtu wa Mungu, ndiomaana kila kwenye kituo chake cha mafuta juu kuna kanisa. Ila kimsingi adhabu ya Kabri na Hukmu ni juu ya Mwenyezi Mungu sie waja wote hatujui, ila chamsingi tutende mema tu.
Na kisukar Ni magonjwa ya Misri siyo ya IsraelBro humjui huyo mzee. Nenda mahakama ya ardhi pale kinondon ulizia ana kesi ngapi za kudhulumu ardhi. Pale mbezi kamdhulumu mama mmoja mjane mpaka amekufa juz juz hajapata haki yake. Ninachosema umeokoka tangaza kama kuna mtu nimemdhulumu au kumuibia aje nimrudishie chake Mzee. hakuna Mungu anaeibia watu haki zao . Mali nyingi kaachia kanisa acheni utan nyie. Kaachia taasisi au kanisa? Mzee mpaka kisukar kinamzidia alikuwa anawadhulum watu.
Teja n yupi huyo aliesoma forodhanNikweli,nimeona sehemu mzee alifiwa na wanawe wote wa kiume,na mmoja ni teja yupo hongkong
Neno ni dhuluma siyo dhurumaNi kweli umeelezea vizuri.
Dhambi ya dhuruma ili dhrumat asamehewe huwa anatakiwa kurejesha alichodburumu kwa alowadhurumu pamoja na riba.
Yani ndio maana haisemi rejesha mara moja la hasha ni huwa ni zaidi ya ulichodhurumu.
Utarejesha mara 10 ya kile ulichodhurumu kwa watu.
Mwenyezi Mungu anachukizwa mno na dhambi ya dhuruma.
Na malipo yake nayo huwa hayachelewi hapa Duniani na malipo ni hivyo hivyo in multiplications.
Utadhurumu 3 utaapoteza 30 😛😛
Mungu ni zaidi ya fundi.
huyo sio kwamba alinyongwa?Nikweli,nimeona sehemu mzee alifiwa na wanawe wote wa kiume,na mmoja ni teja yupo hongkong
Kwahyo watu wasitafute pesa?Ule siyo utafutaji bali laana. Uliza mali aliyochuma anamuachia nani maana mke alikufa na watoto wengi wamekufa