Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Mkuu picha siwezi kuitupia ka maadili ya "whistle blowing" kipo upande wa kushoto wakati basi linapoingia ndani ya stendi hiyo ya Msamvu. Wajasiriamali walioahidiwa kupewa vizimba katika eneo hilo wanamasikitiko makubwa mno lakini pia ni hatari sana kuweka kituo cha mafuta eneo ambalo huwezi kudhibiti tabia za watu kama uvutaji sigara na kadhalika.Embu tupia kapicha ka anga tupate uelewa vizuri.
LABDA MANSPAA WAMEINGIA UBIA NA KIGOGO.Mandari umelileta humu wahusika watalifanyia kazi. Utuwekee kapicha Uzi bila picha ni sawa nasupu isiyo na mifupa. Tunakuaminije Mr whistle blower. .
Mkuu picha siwezi kuitupia ka maadili ya "whistle blowing" kipo upande wa kushoto wakati basi linapoingia ndani ya stendi hiyo ya Msamvu. Wajasiriamali walioahidiwa kupewa vizimba katika eneo hilo wanamasikitiko makubwa mno lakini pia ni hatari sana kuweka kituo cha mafuta eneo ambalo huwezi kudhibiti tabia za watu kama uvutaji sigara na kadhalika.
Kuna Wananchi na wenye nji.Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi na kisiasa!!!!
Je, serikali siku hizi inaendesha biashara ya kununua na kuuza mafuta ya magari?
Je, kwa mtindo huu ni kweli kwamba kituo hicho cha mabasi cha umma kiko mbioni kubinafisishwa kwa watu binafsi?
Je, baraza la madiwani wa manispaa ya Morogoro wameridhia kisha wananchi wakapewa mrejesho?
Je, serikali kuu inatambua kuhusu hili?
Ufafanuzi tafadhali
Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi na kisiasa!!!!
Je, serikali siku hizi inaendesha biashara ya kununua na kuuza mafuta ya magari?
Je, kwa mtindo huu ni kweli kwamba kituo hicho cha mabasi cha umma kiko mbioni kubinafisishwa kwa watu binafsi?
Je, baraza la madiwani wa manispaa ya Morogoro wameridhia kisha wananchi wakapewa mrejesho?
Je, serikali kuu inatambua kuhusu hili?
Ufafanuzi tafadhali
Hata mimi mkuuKama kajenga nje ya stendi sioni tatizo
Wala siwezi kushangaa,kama pale stopover kwenye eneo la barabara,watu walipovunjiwa nyumba zao miaka hiyo leo kuna kituo cha mafuta kinajengwa tena hapo hapo kwenye mataa!!I'm pro investors, lakini kwa hilo kama taarifa hizi ni za kweli kwangu ni BIG NO.
Naililia nchi yangu dah! Inapigwa na inapigika kisawa sawa.Wala siwezi kushangaa,kama pale stopover kwenye eneo la barabara,watu walipovunjiwa nyumba zao miaka hiyo leo kuna kituo cha mafuta kinajengwa tena hapo hapo kwenye mataa!!
Umeyankanyaga subiria waje ukutane na ndoigeTangu lini nyinyi watanganyika kelele zenu zilimfanya tembo asinywe maji kisimani?
Inajengwa ndani ya uzio wa stendi yenyewe huku imekingwa na vizimba vya kupoteza malengo kwa wapitaji barabaraniKama kajenga nje ya stendi sioni tatizo