Mfanyabiashara gani amepewa kibali kujenga kituo cha mafuta ndani ya stendi ya Msamvu?

Huu ni uhuni wa 100%.
Hapo ni wananchi waanze kupachimbicha mapema.
Njia rahisi ni kutumia mitandao, picha zipigwe na harsh tag zitambae mitandaoni.

#MsavuStendiUFISADI
 
Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi na kisiasa!!!!

Je, serikali siku hizi inaendesha biashara ya kununua na kuuza mafuta ya magari?

Je, kwa mtindo huu ni kweli kwamba kituo hicho cha mabasi cha umma kiko mbioni kubinafisishwa kwa watu binafsi?

Je, baraza la madiwani wa manispaa ya Morogoro wameridhia kisha wananchi wakapewa mrejesho?

Je, serikali kuu inatambua kuhusu hili?

Ufafanuzi tafadhali

Sio hapo tuu hata hapa daresalamu pale stop over mataa mkono wa kushoto kama unaelekea mbezi kuna jamaa anaweka hapo sheli wakati pale kuna mtu kabomolewa nyumba zake kwa kigezo cha kusema ni sehemu ya barabara kinachonishangaza pale mbele usawa huo huo (kituo suka)kuna sheli pale imefungwa kwa kigezo cha kusema iko barabarani sasa hapo sijaelewa hii mchi kumbe ina watu ndio na watu sio
 
Siri inasema hivi temblea Chalinze ndo utajua ni nani anayesumbua hivi kwa ujasiri.................................inashangaza mpaka msitu wa Maseyu umeanza kufyekwa ili vituo vya mafuta vijengwe. Sio kwamba viongozi hawaoni hapana wanafahamu na wameridhia kwa kuwa mzizi mkuu umekitishwa kitako ukiwa umezungukwa na silaha tano za kinga
 
Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi na kisiasa!!!!

Je, serikali siku hizi inaendesha biashara ya kununua na kuuza mafuta ya magari?

Je, kwa mtindo huu ni kweli kwamba kituo hicho cha mabasi cha umma kiko mbioni kubinafisishwa kwa watu binafsi?

Je, baraza la madiwani wa manispaa ya Morogoro wameridhia kisha wananchi wakapewa mrejesho?

Je, serikali kuu inatambua kuhusu hili?

Ufafanuzi tafadhali
Kwani hujui Serikali inayo hisa kwenye PUMA.
 
Ndani kbsa au ile iliyoko njje kule Kama unaenda dar au ndani ipi ngoja niatapitia k
 
Back
Top Bottom