Huu ndio ukweli mchungu ambao inabidi tukubaliane naoHii ni ukweli kabisa
KabisaSure 100%
Pesa ni Siri na pesa haitaki kelele ndio maana wapiga kelele kwao pesa haikaiHivi kwanini? Ni ubinafsi au
Ndio, hata wewe kama unauza machungwa na mnunuzi ni mr X, si rahisi ujiongezee ushindani wa soko lako.Hivi kwanini? Ni ubinafsi au
Yes haipo hata siku moja mtu ajiandalie mshindani wake kibiashara haipo hiyo tupeane moyo lakini kufunguka code zote haipo hiyo toka dunia iumbwe iwe kwa biashara kubwa au ndogo utapata story za hapa na pale note real infosNdio, hata wewe kama unauza machungwa na mnunuzi ni mr X, si rahisi ujiongezee ushindani wa soko lako.
Ni kama vile ambavyo Mbwa anavyofukia mifupa au chui anavyopandisha mzoga mtini au kichanga kinavyokataa usinyonye titi la mama.
Kweli kabisaHapa nawajibu wale wenzangu na Mimi, ukiona mtu anakueleza anapata faida fulani kwenye biashara fulani ujue hiyo biashara alishaacha kuifanya kitambo.
Biashara ni Siri kubwa na faida za biashara ni Siri kubwa pia. Wale tunaoulizia biashara ukumbuke biashara ni Siri na Siri ndio pesa yenyewe.
Hakuna atakaekupa code zote na njia anazopita hiyo sahau. So wale tunaofuatana DM kuulizana mjifunze hapa, pesa ina Siri na biashara ni Siri ya anayeifanya. Hivo msihangaike wewe andaa mfumo wako nawe utembee mbele kwa mbele hivo ndivo ilivo.
Haipo hiyo nitakupa mzigo unakopatikana lakini soko la maana hutopata kulijua kamwe, pesa ina Siri kubwa Sana na akikueleza MTU ni mfanyabiashara akajifanya anakueleza kila kitu jua unapotezwa Tu , no code will be disclosed mileleBiashara ni ushindani! Unampaje mbinu ya kukushinda?
Sasa unaongezaje mpinzani haliyakuwa anaekuuliza yupo mwanza wewe upo dar hususani humu mitandaoniNdio, hata wewe kama unauza machungwa na mnunuzi ni mr X, si rahisi ujiongezee ushindani wa soko lako.
Ni kama vile ambavyo Mbwa anavyofukia mifupa au chui anavyopandisha mzoga mtini au kichanga kinavyokataa usinyonye titi la mama.
Nakubaliana na wewe pesa ni siri ila sio kwa platform kama hizi ambazo hatufahamiani nani atajuaPesa ni Siri na pesa haitaki kelele ndio maana wapiga kelele kwao pesa haikai
İla kuna mfanyakaz wa coca alitaka kutoa Siri kwa pepsi ili alipwe mpunga mrefu badala yake kala mvua za kutosha jela baada ya pepsi kumchoma kwa cocaHuo ndio ukweli ndio maana coca hajawahi kumpa pepsi Siri zake zozote so huu ni ukweli mchungu lazima tuukubali
Wewe unavonunua Landrover mbovu na kuzimantain na kwenda kuziongeza chassis zinakua za Utalii hua unaeleza pesa unayopiga? Mbona landcruiser ulileta ikachukuliwa tunduma haukusema zaidi ya sadec ushuru umepanda ? Mwalafyale imbombo ngafuMambo ya kizamani hayo njoo SA ununue Scania kichwa uje uuze Tanzania na trailer lake unataka biashara gani uambiwe na mimi nafanya hiyo biashara..
Hata KFC hutopata Siri zao hii ni dunia nzimaİla kuna mfanyakaz wa coca alitaka kutoa Siri kwa pepsi ili alipwe mpunga mrefu badala yake kala mvua za kutosha jela baada ya pepsi kumchoma kwa coca