Mfanyabiashara hatokueleza wapi anapata faida, kamwe usije kuomba ushauri ukadhani atafunguka 100%

Wala usilaumu kabisa mtu kaandaa mfumo wake wa pesa kwa maumivu wewe uje uokote bure haipo hiyo mfikie hatua mfahamu hili ni mtu kulinda empire yake na wanaonihusu na hapo kuna DM nzinamiminika huko unawacheck tu
Kuna wengine ukiwapa code hawawezi kukuathiri moja kwa moja mfano mtu anakuulizia biashara yupo katavi huko wewe upo dar unamsaidia tu in detail
 
Ukitarajia code utachelewa andaamfumo wako mwenyewe kwa jasho na damu kama wengine
Ngoja nikupe kastory kidogo kanako nihusu

Mzee alificha code za biashara kwa wadogo zake walikuwa wanamsaidia kazi kipindi tupo wadogo akitarajia tukikuwa anaweza kuturithisha

Matokeo yake alikata moto bado tupo wadogo ilikuwa enzi za mwinyi bamdogo zetu wasielewe wafanye nini hadi pesa walishindwa kubadili na nyingine za bank wakashindwa kufuatilia wakafaidika watu wengine

Hadi leo naangalia zile note za mwinyi roho inaniuma sana
 
Siku hizi hauhangaiki unanunua gold unatupa ndani kimya haiozi milele , hiyo inakua hazina
 
Mkuu desa tunapiga wote na tunaingia wote chimbo kusaka gaka halafu wabana matokeo kuna haja gani ya kushirikiana
Hahaha, umenichekesha boss. Nimewaza matokeo una 2/100 sasa unataka ujue mwenzio vipi?

Yale yale, kabla ya ujio wa Luku nasikia ilikuwa umeme ukikatika uswahilini jirani anatoka kuchungulia nje kama ni kwake tu au kote na akikuta ni kote anapata amani. Ishu si nyama kuharibika kwenye Friji ishu ni zisiharibike zangu tu na za jirani ziharibike. Msiba wa wengi sherehe.

Ila pia ukifikiria sana kuna taarifa wala hazina maana kuzifahamu, kama unataka kujipima unafatilia perfomance kwa ujumla. Kuna A's ngapi, B's ngapi F's ngapi n.k
 
Mimi naamini wanaoficha code uwezo wao mdogo wenye uwezo hawafichi code

Hata nikupe njia niliyopitia kufanikiwa haina maana nawewe ukiipita utafanikiwa hiyo ni big NO
 
Wanaficha mkuu. Mfate tajiri yoyote uliye na access naye akupe codes uone kama ataziachia kwa 100%. Na wakati mwingine si kwasababu hawataki ufanikiwe ila wanakunyima sababu biashara zina mambo mengi ambayo yanaweza kuwaweka wazi kuwa wao ni watu wa aina gani.
Hata nikupe njia niliyopitia kufanikiwa haina maana nawewe ukiipita utafanikiwa hiyo ni big NO
Hapa upo sawa kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom