Mfanyabiashara hatokueleza wapi anapata faida, kamwe usije kuomba ushauri ukadhani atafunguka 100%

Namrocommend hapa Isanga family , alishanilietea trekta, na gari moja hivi SUV, hivo naomba tumuamini , magari yake anayatoa SA na ni bei ya chini kuliko Japan, so tumuunge mkono
 
Ndio maana miaka nenda rudi tz maboss ni wale wale wakifa hakutakuwa na wengine hii ni hatari kwa taifa
 
Namrocommend hapa Isanga family , alishanilietea trekta, na gari moja hivi SUV, hivo naomba tumuamini , magari yake anayatoa SA na ni bei ya chini kuliko Japan, so tumuunge mkono
Mkuu hebu nifungulie code biashara inayokupa huo mtonyo wa kununulia ndinga unaonekana upo vizuri😀

Tufunguliane code wakuu hali ni tete kitaa
 
Kuna jambo moja yafaa tulijue hapa ni kwamba,kwanza yafaa tujue kwamba uyo mfanyabiashara kutokukuelezea anapataje faida katika biashara zake si kwamba anaroho mbaya dhidi yako,,anaweza tu kukwambia matokeo ila mchakato si rahisi,maana hauwezi elezeka kwa mwingine,, Kuna kumbukumbu inaitwa implicit memory,ambako kuna mambo kama utamu,radha nk,mfano radha kwa mkeo we ndo waijua ni ngumu sana kumwelezea mtu mwingine akakuelewa,maana yahusisha miili yetu wenyewe,,kwa hiyo ata akikuelezea yafaa uwe makini sana kuchambua,kwa kuwa ataongea vinavyoongeleka tu,details yafaa uzitafute we mwenyewe,ndivyo tulivyoumbwa tuko ivyo,kumbuka pia kuna wajanja wengi siku hizi,mwingine atakwambia kwa faida zake tu,anaweza kukupotosha kabisaa,take care!!!.
 
Sasa mkuu nikikwambia naingiza 30k kwa siku Sasa hapa utanishinda kivipi
 
Tuseme Nina guest house alafu nikwambie Nina vyumba 20 naingiza laki nne kwa siku Sasa hapo mshindani wangu atanipiku kivipi
Simple naona hapo Pana mzunguko nakuja namvua mtu kiwanja naweka chumba 15 wewe una 2ok biashara yako imefia hapo na mfanyakazi wako nachukua jumla , namuongezea dau , biashara ni vita ya akili Pana sana
 
Simple naona hapo Pana mzunguko nakuja namvua mtu kiwanja naweka chumba 15 wewe una 2ok biashara yako imefia hapo na mfanyakazi wako nachukua jumla , namuongezea dau , biashara ni vita ya akili Pana sana
Au tuashumu mimi nauza mshikaki kariakoo nauza stick 500 per it means ni 25k je? Hapo utaniibia wateja wakati mimi Nina mapishi yangu, Nina customer care nzuri na maintain Radha, kumbuka sijakutell hzi mbinu nimekwambia tu nafunga 25k per day unanipiku vipi
 
Simple naangalia unafanyaje naiba Siri nakupindua yaani wewe mishkaki yako sio laini then naongeza tangawizi na kitunguu saumu na nashusha na bei ili niibe wateja wako
 
Ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…