Mfanyabiashara kijana aandaa kaburi lake baada ya kukiuka masharti ya Mganga

Kwahio wasiokwenda kwa waganga hawatakufa ?

Logic, logic, logic....

Au angetimiza masharti angeishi milele ?
 
Hela ndogo sana hiyo.wakinga wa kariakoo wanaingiza hadi milioni 5 kwa siku na hawajulikani

Umesoma vizuri aina ya biashara anayoimiliki na wingi wake?

Yaani uwe mmliki wa saloon 89 na telephone booth 240, halafu usiwe mashuhuri?
 
Mfanyabiashara Kijana wa Nakonde nchini Zambia mwenye umri wa miaka 29 ameanza kuandaa kaburi lake baada ya kuambiwa na Mganga wake wa Sumbawanga kuwa atakufa hivi karibuni kwa kukiuka masharti ya utajiri wake.

Grigory Siame ambaye alikuwa maskini sana hadi alipoenda kuonana na mganga miaka 8 iliyopita, anasemekana kukiuka masharti baada ya kuabiri moja ya magari yake 5 mapya aliyonunua.

Bw Siame anasemekana kumiliki saloon za kisasa za kiume 89 na vibanda vya simu za njiani BoothTelephone) 240 huko Nakonde na Tunduma ambapo hukusanya ZMK28,000 sawa na TSH 3,975,000 kwa siku.

Pamoja na kumsihi sangoma huyo amsamehe au kumbadilishia adhabu, Lakini juhudi zake hizo ziligonga mwamba.

Kwa sasa tajiri huyo mtoto anajiandaa kufa hata ukimwangalia anaonekana Kuwa ni mtu aliyekata tamaa.

Ukipenda hembu sema neno la faraja kwake.

View attachment 2296855
kuabiri ndio kufanyeje?
 
Neno la faraja kwake ni R I P
 
Umesoma vizuri aina ya biashara anayoimiliki na wingi wake?

Yaani uwe mmliki wa saloon 89 na telephone booth 240, halafu usiwe mashuhuri?
Labda amefranchise ye anaketewa hesabu tu
 
Siame ni ukoo wa machifu wa wanyamwanga Sumbawanga
Au hilo jina alifoji? Ukoo wa Siame hawana tabia ya kudhulumu mtu au kwenda kutafuta utajiri wa kishirikina

Huyo sio ukoo wa Siame wacha yamkute kafoji Jina la watu ukoo wa kichifu halafu anaenda kishirikina wakati ukoo.huo wa Siame ushirikina kwao mwiko.Afe tu
Majina ya mpakani hayo, Walungu wako nakonde upande wa Zambia na mkoa wa rukwa wapo.
 
Aende tu kukesha kanisani na kumrudia Mungu wake, labda anaweza kuzishinda nguvu za kishetani
 
Mfanyabiashara Kijana wa Nakonde nchini Zambia mwenye umri wa miaka 29 ameanza kuandaa kaburi lake baada ya kuambiwa na Mganga wake wa Sumbawanga kuwa atakufa hivi karibuni kwa kukiuka masharti ya utajiri wake.

Grigory Siame ambaye alikuwa maskini sana hadi alipoenda kuonana na mganga miaka 8 iliyopita, anasemekana kukiuka masharti baada ya kuabiri moja ya magari yake 5 mapya aliyonunua.

Bw Siame anasemekana kumiliki saloon za kisasa za kiume 89 na vibanda vya simu za njiani BoothTelephone) 240 huko Nakonde na Tunduma ambapo hukusanya ZMK28,000 sawa na TSH 3,975,000 kwa siku.

Pamoja na kumsihi sangoma huyo amsamehe au kumbadilishia adhabu, Lakini juhudi zake hizo ziligonga mwamba.

Kwa sasa tajiri huyo mtoto anajiandaa kufa hata ukimwangalia anaonekana Kuwa ni mtu aliyekata tamaa.

Ukipenda hembu sema neno la faraja kwake.

View attachment 2296855
Ukitafutwa PM kwa ajili ya mawasiliano ya huyo mganga wa Sumbawanga, na watu wenye tamaa ya utajiri wa hara haraka, na wale waliokata tamaa ya kutoboa kimaisha kwa njia za kawaida, basi ujitahidi tu kutoa ushirikiano.
 
Siame ni ukoo wa machifu wa wanyamwanga Sumbawanga
Au hilo jina alifoji? Ukoo wa Siame hawana tabia ya kudhulumu mtu au kwenda kutafuta utajiri wa kishirikina

Huyo sio ukoo wa Siame wacha yamkute kafoji Jina la watu ukoo wa kichifu halafu anaenda kishirikina wakati ukoo.huo wa Siame ushirikina kwao mwiko.Afe tu
Mwenyewe nimejiuliza mengi sana,siame wengi wapo jeshini nashangaa kumbe wazambia bwana[emoji23][emoji23],atakuwa kakosea siame ndio mganga mwenyewe
 
IMG_3373.jpg

Huwezi kuwakosa. Smart though[emoji106]
 
Back
Top Bottom