TANZIA Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Calvin Maimu afariki dunia

TANZIA Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Calvin Maimu afariki dunia

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Ndugu Calvin Maimu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Tarehe 17/07/2020 katika Hospital ya Hindu Mandal Jijini Dar e Salaam.

Mfanyabiashara huyo mkubwa alikuwa akijishughulisha na mradi wa kuuza Matrekta maarufu Dodoma kama Kilimo kwanza maeneo ya Ndejengwa na alikuwa na Biashara za bidhaa za kilimo.

BWANA AMETOA BWANA AMETWAA. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
20200717_121752.jpg
 
Tatizo bado lingalipo tusibweteke sana wakuu. Tuchukue tahadhari na tuzingatie kanuni za afya kama inavyotakiwa. Kama unaona aibu kuvaa barakoa au kunawa au ku-sanitize in public eti watu watanishangaa likikufika hao waliokuwa hawakushangai wala hawatahudhuria msiba wako. Chukua tahadhari; usidanganywe na ngonjera za majukwaani; afya yako ni suala lako binafsi usimkabidhi mtu!

Pole kwa familia; ndugu; jamaa na marafiki wote. R.I.P.
 
Back
Top Bottom