Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Sio korona iliyo muondoa uhai."KIFO" ndio subject ya ujumbe wako, unashangaza unapodadavua mambo ya uhai wa muhusika badala ya kifo.
Sikulaumu najua unaogopa kuitaja korona kwmba imehusika.
Marehem amekua mgonjwa kwa muda mrefu hata kabla ya kurona