Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Ndio yeyePoleni Sana wafiwa huyu ndiye aliyekuwa na mgogoro was ardhi na wanakijiji au nimechanganya
Mtu kama wewe ungekuja kuuliza NDIO NANI? Ndio maana NIKADADAVUA"KIFO" ndio subject ya ujumbe wako, unashangaza unapodadavua mambo ya uhai wa muhusika badala ya kifo.
Sikulaumu najua unaogopa kuitaja korona kwmba imehusika.
Idadavue "subject" sasa.Mtu kama wewe ungekuja kuuliza NDIO NANI? Ndio maana NIKADADAVUA
katika Hospital ya Hindu Mandal Jijini Dar e Salaam.