Sio korona iliyo muondoa uhai."KIFO" ndio subject ya ujumbe wako, unashangaza unapodadavua mambo ya uhai wa muhusika badala ya kifo.
Sikulaumu najua unaogopa kuitaja korona kwmba imehusika.
Unapenda ligi za kishambaIdadavue "subject" sasa.
Sio korona mkuu alikuwa anaumwa muda mrefu"KIFO" ndio subject ya ujumbe wako, unashangaza unapodadavua mambo ya uhai wa muhusika badala ya kifo.
Sikulaumu najua unaogopa kuitaja korona kwmba imehusika.
Japo sio CoronaCorona inatafuna polepole
Huyu M-MACHAME WA URONU, ni tajiri na mdogo wake Dickson Maimu aliyekuwa mkurugenzi wa NIDA kabla ya KipilimbaMfanyabiashara maarufu Dodoma, Ndugu Calvin Maimu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Tarehe 17/07/2020 katika Hospital ya Hindu Mandal Jijini Dar e Salaam.
Mfanyabiashara huyo mkubwa alikuwa akijishughulisha na mradi wa kuuza Matrekta maarufu Dodoma kama Kilimo kwanza maeneo ya Ndejengwa na alikuwa na Biashara za bidhaa za kilimo.
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
View attachment 1509282
Maimu ni wamachame wa kijiji gani? Ni koo ngeni kuwahi isikiaHuyu M-MACHAME WA URONU, ni tajiri na mdogo wake Dickson Maimu aliyekuwa mkurugenzi wa NIDA kabla ya Kipilimba
Ni koo ndogo , wapo kuanzia Woongo Makoo mpaka SAnya Juu maeneo ya Naibili.Maimu ni wamachame wa kijiji gani? Ni koo ngeni kuwahi isikia
Nimekusoma mkuu itakua ni wahamiaji,mana koo za uchagani nyingi zinajulikana hizi ndogondogo ndio wengi wahamiajiNi koo ndogo , wapo kuanzia Woongo Makoo mpaka SAnya Juu maeneo ya Naibili.
Na yeye alikuwa bilionea?
Watanzania hawachelewi [emoji16], kama hakua bilionea watatuambia alikua trillionea. Wanajua mpaka maisha yake
Bora umewajibu waache kusambaza taarifa za uongo.Sio korona mkuu alikuwa anaumwa muda mrefu
Naunga mkono hoja mjumbe.Tatizo bado lingalipo tusibweteke sana wakuu. Tuchukue tahadhari na tuzingatie kanuni za afya kama inavyotakiwa. Kama unaona aibu kuvaa barakoa au kunawa au ku-sanitize in public eti watu watanishangaa likikufika hao waliokuwa hawakushangai wala hawatahudhuria msiba wako. Chukua tahadhari; usidanganywe na ngonjera za majukwaani; afya yako ni suala lako binafsi usimkabidhi mtu!
Pole kwa familia; ndugu; jamaa na marafiki wote. R.I.P.