TANZIA Mfanyabiashara maarufu Velani Mkomba ajulikanae kama Vigu Co aka Kilimanjaro Lembeni Kwetu afariki dunia

TANZIA Mfanyabiashara maarufu Velani Mkomba ajulikanae kama Vigu Co aka Kilimanjaro Lembeni Kwetu afariki dunia

Alaf mnazingua yan kufa tu et korona, tusitishane asee, kufa kupo tu.
Poleni wafiwa.
 
Hawa ni baadhi ya watu waliyowahi kuugua Covid-19 na wakapona.



Anna Mghwila.

Mwana FA.

Salam SK.(meneja wa Diamond?)

Mtoto wa Magufuli.

Mtoto wa Mbowe.




Na sasa Maalim seifu amejitangaza kuumwa Covid-19, tunaimani atapona pia
 
Uko corona amna nije? Hapa bongo bado kama wiki tu tutaanza kukataana!!
Tunasikia Tanzania hakuna Corona, sijui mnatumia mbinu gani ndugu zetu kuhakikisha hampati corona.
 
Kinga ya covid 19 ziletwe serikali isicheze na afya zetu basi wagawe zile dawa alizoenda kuzifuata yule Profesa Macho
 
Tunasikia Tanzania hakuna Corona, sijui mnatumia mbinu gani ndugu zetu kuhakikisha hampati corona.
Kuna vitu viwili,kuna corona yenyewe kama jinsi ilivyo na hofu ya watu juu ya corona. Sasa Tanzania tumechagua kuichukulia corona kwa jinsi ilivyo na si kwa hofu za watu zilivyo juu ya corona,kama corona ingekuwa kiwango na jinsi vile watu wanavyoihofia basi Tz hospitali zingekuwa zimejaa na biashara ya majeneza pengine ingekuwa inalipa sana.
 
Kuna horse zinavuta tela zimeandikwa "Kilimanjaro"ndo uyu mwamba?
 
Jamaa
Matajiri kuna wakati walitaka kusaidia lakini kilichowapata wanajua wao... bidhaa zote zinazohusinana na Matibau au kusaidia Corona TDFA wamepewa madaraka wavipime kwanza na kabla hujaagiza upate kibari hapo ndio changamoto utaiona.

Tokea siku ile aliyotangaza mweshimiwa kuwa barakoa kutoka nje zina vidudu vya corona so lazima kwanza vipimwe ndio kama ikawa vimezuiliwa hasara watu walikula na vilichukuliwa kupimwa kimoja ikawa ''G''
Jamaa aliwahi kusema kipindi cha mwanzo kuwa barakoa zote zinazotoka nje zichunguzwe
 
Back
Top Bottom