Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasikia Tanzania hakuna Corona, sijui mnatumia mbinu gani ndugu zetu kuhakikisha hampati corona.Uko corona amna nije? Hapa bongo bado kama wiki tu tutaanza kukataana!!
Kuchukuliwa kwa kiranja mkuu ni maombi ya wengi.Wanaondoka wapambanaji wanaosaidia familia nyingi kwa vibarua vya apa na pale kwann asichukuliwe kiranja mkuu??.[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Magufuli is saferNobody safe!
Na hatokaa akafarikiMagufuli is safer
Umeulizwa ulipo?Corona itawamalize acha wengine tuendelee kula maisha Finland
Kuna vitu viwili,kuna corona yenyewe kama jinsi ilivyo na hofu ya watu juu ya corona. Sasa Tanzania tumechagua kuichukulia corona kwa jinsi ilivyo na si kwa hofu za watu zilivyo juu ya corona,kama corona ingekuwa kiwango na jinsi vile watu wanavyoihofia basi Tz hospitali zingekuwa zimejaa na biashara ya majeneza pengine ingekuwa inalipa sana.Tunasikia Tanzania hakuna Corona, sijui mnatumia mbinu gani ndugu zetu kuhakikisha hampati corona.
upo finland sehem gan nami nipo ukoCorona itawamalize acha wengine tuendelee kula maisha Finland
Hahaha We Jamaa...Utakuwa ushawahi Kupiga Mkalifya wa Barabara mbiliUmenikumbusha Mtwivila kwa mchungaji Msigwa!
Jamaa aliwahi kusema kipindi cha mwanzo kuwa barakoa zote zinazotoka nje zichunguzweMatajiri kuna wakati walitaka kusaidia lakini kilichowapata wanajua wao... bidhaa zote zinazohusinana na Matibau au kusaidia Corona TDFA wamepewa madaraka wavipime kwanza na kabla hujaagiza upate kibari hapo ndio changamoto utaiona.
Tokea siku ile aliyotangaza mweshimiwa kuwa barakoa kutoka nje zina vidudu vya corona so lazima kwanza vipimwe ndio kama ikawa vimezuiliwa hasara watu walikula na vilichukuliwa kupimwa kimoja ikawa ''G''
Kubanwa pumziChanzo cha kifo?
Huko Ufini Kuna kazi mpya zimetangazwa?Corona itawamalize acha wengine tuendelee kula maisha Finland
Aahg kumbe hili jibwa linatushika masikio.Ulienda lini Finland wewe Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogo
Siku ya kifo ikifika imefika tu ulaya na marekani ma ventilator yako kibao na watu wanakufa kama kuku