Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,647
- 4,495
Rest in paradise erasto msuya
Chawa amekuwa mkalimijitu ni mishamba na ina wivu wa kijinga kabisa,sasa unachobisha ni nini? mmeshaambiwa ni billionaire mnabisha nini sasa..
mnajua how much inacost ujenzi wa hoteli hizo mnazoziita hoteli uchwara?
mnajua inacost kiasi gani kuweka furniture the whole hotel na hatimae kuendesha?
manyan'gau kabisa nyie,kwa taarifa yenu hamjaambiwa ni billionea wa dola,billionea ni billionea tu hata kama ni wa kwacha au zimbabwean dola!!
rest in peace bro