...Kama ile siku ya wafu kufufuliwa ipo kweli basi huyu jamaa ameliwa maana hizo slabs za gege zilizopigwa hapo ndani plus plasta ya cement juu kwa kweli ni hatari....Dah hizo mbwembwe tu ila kaburi ni kaburi hata kama halijawekwa marumaru
nadhani kapigana vita vya uzulumati na kuvikwa taji la ngono..huyu simuonei huruma hata kidogo let him be punished adequately for his wrong doing...
May be!!!!!Tujitahidi kuupata utajiri kwa njia za haki, siku moja maulana atakupeperusha kama ua!!!! Na jiulize, nimeacha legacy ya namna gani? Nikiangalia kwa harakaharaka hapo kwenye msiba hata mahudhurio si makubwa sana!!!!! Je wenzake wa Mererani walivyo wengi hawakuhudhuria? Kama hawakufika wengi, ni kwa nini wakati wana mshikamano sana!!!? Je majirani niaje? Au niseme kwake ni kwa yule tajiri "do not touch me'?
ha ha ha..., yaani huwa nashangaa sana mawazo ya hawa wenzetu, kuogopa kuweka slab juu ya kaburi eti itakuwa ngumu kufufuliwa siku ya mwisho... Nguvu na Mungu inayoweza kuhamisha milima, inashindwaje kubomoa slab! kumbuka huo wote ni udongo tu. si cement wala vigae vyote udongo tu. na hakuna linaloweza kumshinda yeye aliye juu....Kama ile siku ya wafu kufufuliwa ipo kweli basi huyu jamaa ameliwa maana hizo slabs za gege zilizopigwa hapo ndani plus plasta ya cement juu kwa kweli ni hatari....
Mkuu hao ni wakuja tu hata hawanipi shida kamji kenyewe Town ni kuanzia kama Magomeni na M/Mmoja utaacha kufahamika kweli? Ndio maana Billionair wanawajua hadi watoto wao wadogo ambao wako shule ya msingi, Billionair anakufa hana hata athari katika uchumi wa taifa zaidi ni familia yake na wapambe wa kununuliwa nyama choma na bia.
Wameshawataja wenyewe maBillionair wao kama huyo Benson,,yaani hadi kicheko kwakweli mtu anamiliki Duka la Electronics nae Billionair.
Nimekaa Arusha Njiro maeneo ya Tanesco kwa miaka 16 nawajua vizuri sana. Kujisifu kwiiingi kumbe ushuzi mtupu.
Wabongo bwana, kubishana kwingi mambo yasiyo na tija. Kweli bado tunatawaliwa na umaskini wa kifikra. R.I.P bro
Mkuu hebu chukua dakika moja ujiulize hapa! Na hii si utani.
Hivi unaposema R.I.P bro. Unamwambia marehemu!? au wasomaji wa jf?
Manake umaskini wa fikra uko.mwingi!!
Mada inahusu binadamu kupigwa risasi na kufa. Kumtakia alale pahali pema peponi cyo umaskini wa fikra. Umaskini wa fikra ni kumjadili mtu alekufa kwa style ya kumkebehi au kuponda mtu au eneo flani au ukanda kibaguzi as if wewe hutokufa au kama unaishi peponi
Huyu sio bilionea?
Wamesakwa, wamekamatwa, wameshitakiwa sita, watano wamenyongwa, mmoja ushahidi haukutosha, sasa wananchi tumeanza kuwalaumu polisi.Ndio yeye, alikuwa anatoka Mererani alipofika eneo liitwalo Majengo ndipo akavamiwa na kupigwa risasi nane akafia palepale. Alikuwa ametoka kununua mzigo mkubwa sana (madini) wamechukua. Jeshi la polisi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha linawasaka watuhumiwa