tena unanipandisha thamani....sina hata corolla....naishi chini ya dollar 1 kwa siku....imekuuma post yangu sana pole...btw mwisho nimesema huyo NI BILLIONAIRE wa TSHS......he ISNT A BILLIONAIRE IN INTERNATIONAL STANDARDS and hhio ni hotel kubwa Arusha IT ISNT BIG HOTEL IN INTERNATIONAL STANDARD
llionaireKifo cha Erasto na mjadala kuhusu utajiri wake ni fursa nyingine kwa WTZ kujifunza zaidi juu ya elimu dunia...binafsi imenishangaza sana kujionea dhana ya ubilionea/umilionea inavyowasumbua wengi hususani walio nje ya jiji la Arusha kutokana na yafuatayo: kwamba ubilionea
@ unahusishwa na ukubwa wa mji
@ ni kuwa organized (ofisi,wapambe etc)
@ ni kwa personality fulani the likes of Bakhresa Dakote nk
@ Upatikana ktk mji mkubwa mfano Dar na si kwingineko
@ ni lazima utokane na structured business...na si individual (sole)
@ ni lazima kufahamika na TRA kama mlipa kodi mkubwa
@ ni sharti uorodheshwe ktk jarida la Forbes na au kutambulika duniani kwa ujumla
@ unatokana sarafu maarufu duniani mfano $,£, nk.
@ hauwezekani ktk sarafu mfano ya TZS na Zim Dola.
@ unatokana tu na kufanya aina fulani ya biashara na si kila biashara
Nk
Naamini hapo juu ni baadhi ya dhana potofu juu ya ubilione. Ukweli ni kwamba michango inayoendelea hapa inawaweka wengi ktk daraja la chini kidogo linapokuja swala la "general knowledge"..wengi wana vyeti "vizuri" lakini inapokuja kwenye tafsiri ktk maisha halisi kwa kweli kuna tatizo. Binafsi napenda kuamini kuwa wengi wa wanaochangia hapa jukwaani ni watu informed au wanapashwa kuwa hivyo inapokuja maswala madogo kama who is a millionaire/billionaire?
llionaire
Mkuu ww ndo huelewi..billionaire hawezi kuwa hivyo kwa pesa local..kuna mtu kakupa mfano hapo Zimbabwe itakua na mabilionaire wangapi ikiwa hivyo???hata hao unaosikia mabillionaires kwenye nchi zingine ni pesa yao inapelekwa kwenye dollars au pound ndo wanakuwa hivyo....nyie watu wa Arusha vichekesho sana teembeeni kidogo muoshe macho..hotel gani hio ya kumfanya mtu awe billionaire..hio ni Bed and Breakfast tu...halafu mnacount evoque au vogue ??hayo ni magari ya kawaida tu unayakuta yard..mabillionaire magari yao mengi ni special production....wanatoa special order!!!ingekuwa billionaires wanaangaliwa kwa local currencies basi huko Uarabuni kungekuwa na mabillionnaires more than a million..kuna watu huko wanamiliki visima vya mafuta na hawako kokote kwenye ubillionaires...fungukeni kidogo vijana wa arusha!!!
Mkuu hivi hii Bed & breakfast ni four star hotel?[/QUOTE
huko mnaweza fanya ni four star hotel kama mlivyomfanya huyo jamaa kuwa ni billionaire but huku hio ni kama BB tu!!!au unatishwa na hayo mapambo ya kichina huko ndani...
Mkuu umenifanya nicheke sana na hiyo kauli yako ya mapambo ya kichina.Mkuu hivi hii Bed & breakfast ni four star hotel?[/QUOTE
huko mnaweza fanya ni four star hotel kama mlivyomfanya huyo jamaa kuwa ni billionaire but huku hio ni kama BB tu!!!au unatishwa na hayo mapambo ya kichina huko ndani...
Kwa maana hiyo unataka kuifanya bed and breakfast kuwa ni kama Days Inn?
Mkuu umenifanya nicheke sana na hiyo kauli yako ya mapambo ya kichina.
Kwa maana hiyo unataka kuifanya bed and breakfast kuwa ni kama Days Inn?
Ndo maana yake...Mahotel ni kama Serena, Girraffe,Sheraton..etc.
Mbona kama watu mnajivunia umasikini?,,,sizitaki mbichi hizi au ni wivu tu??!
Mkuu hao ni wakuja tu hata hawanipi shida kamji kenyewe Town ni kuanzia kama Magomeni na M/Mmoja utaacha kufahamika kweli? Ndio maana Billionair wanawajua hadi watoto wao wadogo ambao wako shule ya msingi, Billionair anakufa hana hata athari katika uchumi wa taifa zaidi ni familia yake na wapambe wa kununuliwa nyama choma na bia.
Wameshawataja wenyewe maBillionair wao kama huyo Benson,,yaani hadi kicheko kwakweli mtu anamiliki Duka la Electronics nae Billionair.
Nimekaa Arusha Njiro maeneo ya Tanesco kwa miaka 16 nawajua vizuri sana. Kujisifu kwiiingi kumbe ushuzi mtupu.
Arusha washamba sana na hua wanapenda kujikweza wakizani wote ni maboya, hakuna Billioneir anaekufa kizembe kama mabillioneir wao
llionaire
Mkuu ww ndo huelewi..billionaire hawezi kuwa hivyo kwa pesa local..kuna mtu kakupa mfano hapo Zimbabwe itakua na mabilionaire wangapi ikiwa hivyo???hata hao unaosikia mabillionaires kwenye nchi zingine ni pesa yao inapelekwa kwenye dollars au pound ndo wanakuwa hivyo....nyie watu wa Arusha vichekesho sana teembeeni kidogo muoshe macho..hotel gani hio ya kumfanya mtu awe billionaire..hio ni Bed and Breakfast tu...halafu mnacount evoque au vogue ??hayo ni magari ya kawaida tu unayakuta yard..mabillionaire magari yao mengi ni special production....wanatoa special order!!!ingekuwa billionaires wanaangaliwa kwa local currencies basi huko Uarabuni kungekuwa na mabillionnaires more than a million..kuna watu huko wanamiliki visima vya mafuta na hawako kokote kwenye ubillionaires...fungukeni kidogo vijana wa arusha!!!
Of course pesa ya uarabuni ni local...kwani hujui??huwezi kwenda nayo nje ya huko ukanunua kitu...unaweza ukarushiwa usoni teehteeh...soma profile yangu ndo utajua niko wapi eeehhh..billlionaire my a*&^^&*.Mental slavery at its worst! local curency ni relative....unaita hela ya uarabuni local, TZ local Zm local... mkuu kwani unaishi wapi ... Reading au Alabama, Zim au TZ? Ladba niulize lipi linakupendeza zaidi kusema una TZS 1,600,000/= au US dollar 100 au Euro 75?
Ndo maana yake...Mahotel ni kama Serena, Girraffe,Sheraton..etc.
Hivi hapa Tz kuna Sheraton??