Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

vyanzo vyao ni bwimbwi aka ngada aka poda aka sembe aka unga

Mwanaapolo halipwi lakini kuna kitu anapata chini coz hata erasto na wengine wenye migodi walitokea kwenyee uwaanapolo mpka kumiliki migodi yao binafsi...wala hakunaga apolo anategemea salary,....mfano afgem wanalipwa lakini huo mshahara hawautegemei kabisa
 
Kifo cha Erasto na mjadala kuhusu utajiri wake ni fursa nyingine kwa WTZ kujifunza zaidi juu ya elimu dunia...binafsi imenishangaza sana kujionea dhana ya ubilionea/umilionea inavyowasumbua wengi hususani walio nje ya jiji la Arusha kutokana na yafuatayo: kwamba ubilionea
@ unahusishwa na ukubwa wa mji
@ ni kuwa organized (ofisi,wapambe etc)
@ ni kwa personality fulani the likes of Bakhresa Dakote nk
@ Upatikana ktk mji mkubwa mfano Dar na si kwingineko
@ ni lazima utokane na structured business...na si individual (sole)
@ ni lazima kufahamika na TRA kama mlipa kodi mkubwa
@ ni sharti uorodheshwe ktk jarida la Forbes na au kutambulika duniani kwa ujumla
@ unatokana sarafu maarufu duniani mfano $,£,€ nk.
@ hauwezekani ktk sarafu mfano ya TZS na Zim Dola.
@ unatokana tu na kufanya aina fulani ya biashara na si kila biashara
Nk

Naamini hapo juu ni baadhi ya dhana potofu juu ya ubilione. Ukweli ni kwamba michango inayoendelea hapa inawaweka wengi ktk daraja la chini kidogo linapokuja swala la "general knowledge"..wengi wana vyeti "vizuri" lakini inapokuja kwenye tafsiri ktk maisha halisi kwa kweli kuna tatizo. Binafsi napenda kuamini kuwa wengi wa wanaochangia hapa jukwaani ni watu informed au wanapashwa kuwa hivyo inapokuja maswala madogo kama who is a millionaire/billionaire?

kwanini basi usisaidie kuwapa watu hio general knowledge???mimi naweka definitions za billionaire hapa:

1.A person whose wealth amounts to at least a billion dollars, pounds, or the equivalent in other currency.

2.a person whose assets are worth over a billion of the monetary units of his country

so kwa maana ya 1 jamaa sio billionare coz hana A BILLION DOLLARS,POUNDS OR 1.6 TRILLION[WHICH IS EQUIVALENT TO A BILLION DOLLARS]

kwa maana ya pili jamaa ni BILLIONAIRE since he got ASSETS WORTH MORE THAN A BILLION SHILLINGS

SO THE DECEASED IS A BILLIONAIRE IN ARUSHA.....NOT IN INTERNATIONAL STANDARD......na tunaofuata international standards HE IS NOT A BILLIONAIRE,HE IS A MILLIONAIRE.

tafuta na wewe za kwako master uje ujitangaze dunia ikujue acha kutoka povu kishamba..
 
Poleni wanaArusha kwa kuondokewa na mpendwa wenu.

Ni vema binadamu tunavyozidi kuishi tujitaidi kupunguza maadui.!!
 
Tanzania imekwisha!
Watu hatujadili tena kuhusu tatizo hili la mauaji linaloendelea kuliko wakati wowote!
Tunabishania ubilionea!
Shame on you!!!!
 
Jackson 'Manjuru' hata kama marehemu alikua anatembea na mkeo na ni mkeo mwenyewe ndio alitaka akuue wewe na mtoto kwa kunogewa na penzi la Erasto. Ili alithi mali haikupaswa kulipiza kisasi,mludie mungu wako

Kazi imeanza!
 
Mkuu utaenda kuisadia police.
 
Watu wa dar tabu kwel mnaendesha Raum na nyumb za kupanga na kaz z kuajiriwa mtafikia lini Arusha? Wewe tembelea Mji wa Arusha uone jinsi wazawa wanavyo invest mjini akina Kiure . Sasa dar matajiri n wahindi na wauza madawa 2 hamna lolote uswahl unawasumbua 2. Wa2 wanafanya kaz bhana co maneno . Hv mnaijua SG RESORT ? Co hotel ya kitoto more than ten floor halafu hajachukua mkopo n kwa hela ya madini sasa akiitwa Bilionea kinawauma tangu apo keshafariki .ila jambo 1nasisitza kama m2 anastahl sifa kwa mamb mazur ya n nn kumkandia ? Ndo yale hamna uwezo wa kununua gar lakn rafk yako akinunua unaumia moyo why? Co lazma wote 2we tajiri

Arusha is crime infested entity! The most unsafe town in TZ. "Behind every fortune is a crime - Mario Puzo".
 
Kifo cha Erasto na mjadala kuhusu utajiri wake ni fursa nyingine kwa WTZ kujifunza zaidi juu ya elimu dunia...binafsi imenishangaza sana kujionea dhana ya ubilionea/umilionea inavyowasumbua wengi hususani walio nje ya jiji la Arusha kutokana na yafuatayo: kwamba ubilionea
@ unahusishwa na ukubwa wa mji
@ ni kuwa organized (ofisi,wapambe etc)
@ ni kwa personality fulani the likes of Bakhresa Dakote nk
@ Upatikana ktk mji mkubwa mfano Dar na si kwingineko
@ ni lazima utokane na structured business...na si individual (sole)
@ ni lazima kufahamika na TRA kama mlipa kodi mkubwa
@ ni sharti uorodheshwe ktk jarida la Forbes na au kutambulika duniani kwa ujumla
@ unatokana sarafu maarufu duniani mfano $,£,€ nk.
@ hauwezekani ktk sarafu mfano ya TZS na Zim Dola.
@ unatokana tu na kufanya aina fulani ya biashara na si kila biashara
Nk

Naamini hapo juu ni baadhi ya dhana potofu juu ya ubilione. Ukweli ni kwamba michango inayoendelea hapa inawaweka wengi ktk daraja la chini kidogo linapokuja swala la "general knowledge"..wengi wana vyeti "vizuri" lakini inapokuja kwenye tafsiri ktk maisha halisi kwa kweli kuna tatizo. Binafsi napenda kuamini kuwa wengi wa wanaochangia hapa jukwaani ni watu informed au wanapashwa kuwa hivyo inapokuja maswala madogo kama who is a millionaire/billionaire?

Ni kweli kabisa mkuu mtu anaweza kuwa amesoma lakini mambo madooogo kabisa akashindwa kuyaelewa.
Wakati wote nawaambia bilionea ni mtu anayemiliki Bilioni zaidi ya 2! Sasa Erasto ana zaidi ya hizo, ni Bill.
Tuache wivu wazee!
 
Jamani hakuna hata mtu mmoja mwenye uwezo wa kupata picha yake alipokua hai???
 
Mnduweru ghendamboa,lakini si vyema kufanya yaliyofanywa kwani aliyeondoka hajui kama ameondoka na dawa ya baya si baya,kama alifanya hayo mnayosema mungu amsamehe lakini wewe ndugu yangu damu hii uliyomwaga itakurudia kwn uhai wa mtu gharama aijua mungu tu.amina:wave:
 
Poleni sana wafiwa
 
Back
Top Bottom