Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Tusibishane, bilionea ni anayemiliki zaidi ya bilioni 2
si lazima mtu awe kama Dangote au Bakhresa ndio awe bilionea si kweli hata kidogo.
Na si lazima ujulikane Forbes, kuna mabilionea kibao tu hawajulikani na taasisi hiyo.
Tuache wivu wabongo tuwe wakweli bilionea ni mtu anayemiliki bilioni nyingi, na mara zote nyingi inaanzia na 2.
Erasto ni bilionea!!
 
A Billionaire is a person with a net worth of at least one billion (1,000,000,000) units of a given currency... hii ni definition nimeitoa Wikipedia
Turudi kwenye issue in question Je? Erasto alikuwa ana net worth ya bilioni moja? katika shilingi za kitanzania? Naomba Tuanzie hapo, sio uanze tena habari za comparison na kina Dakote. je kwa definition hyo toka Wikipedia Erasto alikuwa bilionea?


We kweli jina lako Pukudu,,unasoma huku ukielewa au kama unajisaidia njia panda? Usidanganye watu hapa angalia vizuri hapo kwenye herufi kubwa...

Billionar is a person possessing worth at least a billion DOLLARS or POUNDS.
 
Moshi. Mfanyabiashara tajiri wa Mirerani na Jijini Arusha, Erasto Msuya, ameuawa kwa kupigwa risasi zaidi ya 20 kwa kutumia bunduki aina ya Sub Machine Gun (SMG), jana mchana.

Erasto anayemiliki vitega uchumi kadhaa na anayeaminika kuwa miongoni mwa wafanyabiashara wa Mirerani wanaoongoza kwa utajiri,

aliuawa jana saa 7:00 mchana wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.

“Eneo la tukio kumeokotwa maganda karibu 21 ya risasi zinazoaminika ni za SMG, yaani mwili ni matobo kila sehemu kwa kweli ameuawa kinyama sana,” alisema polisi mmoja wa Kituo cha Bomang’ombe.

Kufuatia mauaji hayo yaliyotokea kati ya neo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia) na mji wa Bomang’ombe, mji huo ulifurika magari ya wachimbaji kutoka Moshi, Arusha na Mererani.

Habari za uhakika zilieleza kuwa wauaji wake walikuwa katika pikipiki na baada ya kumminia risasi hizo, walimpora kibegi ambacho haikujulikana kama kilikuwa na madini ama mamilioni ya fedha.

Kulingana na vyanzo vya habari, mfanyabiashara huyo alipigiwa simu na kukubaliana kukutana katikati ya mji wa Bomang’ombe na makutano ya Barabara ya Kia katika Barabara Kuu ya Hai kwenda Arusha.

RPC Kilimanjaro afafanua alivyouawa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alisema kuwa mfanyabiashara huyo aliuawa saa 7:00 mchana eneo la Mjohoroni kati ya mji wa Bomang’ombe na makutano ya barabara ya Kia.

“Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa Eransto alikuwa akitokea Moshi kuelekea Arusha, na alipofika hilo eneo la Mjohoroni alichepuka na kwenda meta 300 nje ya barabara,” alisema.

Kamanda Boaz alisema alipofika eneo hilo, alikutana na vijana wawili waliokuwa na pikipiki ambao waliingia ndani ya gari kwa lengo la kufanya mazungumzo yanayodhaniwa ni ya kibiashara.

Hata hivyo, muda mfupi tu Erasto alishuka kwenye gari lake na kuanza kukimbia na ndipo mmoja kati ya wale vijana alishuka kwenye gari la Erasto na kuanza kumminia risasi nyingi.

source: Gazeti Mwananchi
 
Ile concept kuwa TZ ni nchi ya amani na utulivu sasa inatoweka...tena kwa kasi kubwa.
 
Ungekuwa unataka kuelimishwa usingekuwa mbishi kama umemwagiwa mayonaise ya kiume, we fact yako ya kumuita billionair ni nini? Kisa ana shimo na resort au?

Ukiniambia ana bilioni za tsh au zimbabwe nitakubali.

We kweli jina lako Pukudu,,unasoma huku ukielewa au kama unajisaidia njia panda? Usidanganye watu hapa angalia vizuri hapo kwenye herufi kubwa...

Billionar is a person possessing worth at least a billion DOLLARS or POUNDS.

Nafkir wewe una yako! Huu mjadala ulikuwa na lengo la kuelimisha na si kubishana wala kuoneshana umajnuni, Lakini cha kushangaza unaanza kutukana! kuna sehemu hata moja nimekutukana? Naomba TUHESHEMIANE kama hukubaliani na hoja ya mtu bisha kwa hoja sio matusi, kwanza naomba utafte Oxford Advanced Learners Dictionary usome ndio uje sio kuja na lugha za karaha. Ubilionea ktk level za kimataifa ndo unapimwa kwa us $ ,£ na € ila kwa local tunatumia local currency. Naomba tuhishie hapa mnakasha mi na wewe either umenizidi sana kiwango cha uelewa or nimekuzidi sana. So naomba tukubali kutokukubaliana baki na uelewa wako nami nibaki na wangu, tungeweza kujadiliana na kueleweshana lakini kwa matusi yako sikuwezi, ntajadiliana na wengine na kueleweshana ila sio na wewe ahsante sana Happy nane nane day!
 
Mabilionea wa kanda ya kaskazini wanapukutika daily aisee. Nakumbuka hata Bishanga alipokuja hapa Arusha alifikia pale kwenye lodge yake SG Resort. Pia ndiye mweny Mezzaluna Hotel.

Arushaone bana embu acha masikhara tuomboleze msiba wa kijana ambaye ametangulia mbele ya haki,RIP Erasto tulikupenda Mungu alikupenda zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hii ni habari ya Siasa??

Mods nanyie muwe mnajiongeza basi kafa yule "bilionea" babu sembeke aliyedondoka kwenye ndege ya kupulizia dawa mashambani mkaweka siasa na huyu nae siasa?

Basi neno siasa limekosa maana kabisa siku hizi.
 
Mkuu hiyo Investment isikuchanye wakati huku Dar hapo k/koo mtu hiyo bil.4 hela ni nyumba yake moja hapo Congo na Kiungani,,sasa mtu utakuta ana nyumba 5 k/koo.
Kuna watu daily wanaporomosha ghorofa hapo k/koo na wana magari ya hatari tu kama Lamborghini, Porshe, X6, Bentley na hatuwaiti maBilionaiq.

Mkuu unaambiwa tembea uone sio upo hapo Arusha mjini tu.

stata tunafahamu Arusha matajiri wake hutokana na biashara ya madini pamoja na utalii vitu ambavyo huvipa heshima Nchi yetu...
hebu tujuze hao unaotaka tuwaite mabillionea wa Dar nini vyanzo vyao vya mapato
 
stata tunafahamu Arusha matajiri wake hutokana na biashara ya madini pamoja na utalii vitu ambavyo huvipa heshima Nchi yetu...
hebu tujuze hao unaotaka tuwaite mabillionea wa Dar nini vyanzo vyao vya mapato

vyanzo vyao ni bwimbwi aka ngada aka poda aka sembe aka unga
 
Madini ni biashara ya watu wachache,wenye mitaji mikubwa. Kwanza kumiliki mgodi ni jambo kubwa,ni uwekezaji wa pesa nyingi,halafu wengi wao hawayalipii kodi madini wanayoyauza,kwaiyo kudharau alichonacho ni rahisi,mana hatambuliki anafanya vipi biashara.

Uwekezaji gani mbona hutaji? Compressor, Generator, Baruti au? Maana hata hao wanaApollo hawalipwi mishahara maana ni vibarua tu na hawalipi kodi.

Billionair gani utamuhesabia ambae halipi kodi? Zinakutosha kweli mkuu au unazo za kuvukia barabara?

Huwezi kumfananisha na Bakhresa hata robo ambaye ana wafanyakazi wanakatwa kodi kama yeye na ujue ana mchango wa uchumi katika taifa lako tofauti na Marehem ambaye ana vibarua ambao ni wanajaza choo nyumbani mwao.
 
R.I.P.
Alikuwa ame upgrade hotel yake hivi karibuni na nafikiri alikuwa hajamaliza. Alikuwa muhimu kwa maendeleo ya Arusha..na taifa kwa ujumla. Nafikiri serikali inatakiwa kuliangalia upya swala la kumiliki silaha..maana wafanyabiashara wa madini wengi wanamiliki silaha..wenda ikawa wanazitumia vibaya.

Hapo penye red: Inasemekana silaha iliyotumika kumwua Erasto ni SMG, kwa hiyo serikali siku hizi inaruhusu wafanyabiashara na watu wengine kumiliki silaha nzito kama SMG?
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Uwekezaji gani mbona hutaji? Compressor, Generator, Baruti au? Maana hata hao wanaApollo hawalipwi mishahara maana ni vibarua tu na hawalipi kodi.

Billionair gani utamuhesabia ambae halipi kodi? Zinakutosha kweli mkuu au unazo za kuvukia barabara?

Huwezi kumfananisha na Bakhresa hata robo ambaye ana wafanyakazi wanakatwa kodi kama yeye na ujue ana mchango wa uchumi katika taifa lako tofauti na Marehem ambaye ana vibarua ambao ni wanajaza choo nyumbani mwao.

Mkuu..kwa nini usiache tu kupoteza mda wako kwa kubisha mambo usiyokua na elimu nayo? Sio busara na nidhamu kulazimisha ukijuacho wewe ndo kiwe sahihi..kama ni bilionea au sio bilionea inakupa tija gani..mkuu mada ya msingi ni kapigwa risasi..tudadavue hilo..waza utakula nini leo na familia yako na sio ukae hapa mpaka chozi lataka toka eti erasto ni bil or not..
 
Ndiyo huyo jamaa, nikweli amefariki kwa kupigwa risasi 8 kwa mujibu wa jamaa aliyeko karibu na eneo la tukio. Na inasemekana hawajachukua kitu chochote kwenye gari lake.
Kule porini,umasaini kusiko na walinzi alikuwa anafata nini?,mtu anakwambia mkutanie uko na yeye akaenda....
 
Mnanishangaza mlivyo busy kujadili dhana ya ubilionea wa tu ilhali hakuna jitihada zenu za nyi kuutafuta huo ubilionea na nyi walau muwepo kundini.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hatutaki mabilionea wengi kama wa Zimbabwe !
 
Tusibishane, bilionea ni anayemiliki zaidi ya bilioni 2
si lazima mtu awe kama Dangote au Bakhresa ndio awe bilionea si kweli hata kidogo.
Na si lazima ujulikane Forbes, kuna mabilionea kibao tu hawajulikani na taasisi hiyo.
Tuache wivu wabongo tuwe wakweli bilionea ni mtu anayemiliki bilioni nyingi, na mara zote nyingi inaanzia na 2.
Erasto ni bilionea!!

Bilionea my foot ! kama anajulikana na wewe na mkeo, ni huko Arusha. tunakerwa na uposhaji wenu wa kisifa za kijinga jinga !
bilionea kwa vigezo hivyo, basi hata waingiza nguo za china hapo Kariakoo hapo Dar, nao ni mabilionea !
 
Ali Dakote ndiyo nan mwenzetu?? Hujui hata spelling za majina and U feel fit to discuss billionaires and non billionaires.. Wabongo bwana mfyuuuuux.. Get lives mawivu tu hatupendaniiiiii R.I.P kaka was ur banker miaka hiyoooo ya 2001
Nikuulize wewe unayeng'an'ania jamaa ni Billionair na sababu yako ya kipuuzi eti kisa kumiliki shimo local unaotegemea mpaka apate madini. Siwezi kumuita mtu Billionaire wakati hajafika hadhi ya kina Moses mwenye migodi huko South Afrika tena sio shimo analoshuka na kamba au ngazi ni Migodi kabisa,,kwa kukusaidia tu Google umuangalie Ali Dakote then ujue nini maana ya Billionair.
 
Back
Top Bottom