Watu wa dar tabu kwel mnaendesha Raum na nyumb za kupanga na kaz z kuajiriwa mtafikia lini Arusha? Wewe tembelea Mji wa Arusha uone jinsi wazawa wanavyo invest mjini akina Kiure . Sasa dar matajiri n wahindi na wauza madawa 2 hamna lolote uswahl unawasumbua 2. Wa2 wanafanya kaz bhana co maneno . Hv mnaijua SG RESORT ? Co hotel ya kitoto more than ten floor halafu hajachukua mkopo n kwa hela ya madini sasa akiitwa Bilionea kinawauma tangu apo keshafariki .ila jambo 1nasisitza kama m2 anastahl sifa kwa mamb mazur ya n nn kumkandia ? Ndo yale hamna uwezo wa kununua gar lakn rafk yako akinunua unaumia moyo why? Co lazma wote 2we tajiri
Uandishi wako tu nimegundua ni form 4 ya Mulungo so, kukushauri tu kaangalie list ya majina tu post ya ualimu yametoka.
kwa kweli nimeshtushwa, nimesikitika na nimeogopa sana baada ya kupata habari za kifo cha rafiki yangu erasto... i feel like Arusha is having something really bad going on, it is not okay at all
Pesa zipo, starehe zipo lakini uhai tunao mmoja tu, kuuondoa kwa namna yoyote ile ni kitu chankikatili sana, hata kama alikua na maovu yake, basi wangempa adhabu ambayo asingeisahau katia uhai wake... HE IS DEAD AND THERE IS NO LESSONS LEARNT, NOT EVEN A NOTE LINE WHAT ALKAEDA AND OTHER COURAGEOUS PEOPLE DO, CLAIMING RESPONSIBILITY
SIJUI TUNAENDA WAPI, LAKINI SIJUI ZAIDI KWANINI SASA TUMEZOEA MAAFA NA KUISHIA KUTYPE NA KUANZA SIKU MPYA
KUNA SIKU TUTAKUA TUNAUANA KWA KUHISI TU KWAMBA FULANI HANIPENDI ILI KUJIKINGA
I AM HURTING
POLENI WANAFAMILIA
NTAMISS SANA ZILE CHAT NA KUPEANA AKILI KILA NIENDAPO SG... BUT I WONT STOP STAYING AAT SG RESORT
Ama kweli akifa Mtu mwenye pesa kila mtu anajifanya kumjua kiundani! Hapa kila mtu anajitahidi kuonesha kuwa anamfahamu vizuri, pamoja na mambo yake!...wengine wanamponda kwa udhulumati wa pesa na mapenzi, wengine wanamtetea kuwa wanamfahamu vizuri hana tabia hiyo..! wengine wanawataja mpaka waliomuuwa kwa uhakika kabisa, wengine wanagombana humuhumu!..YOTE HII NI KWA SABABU ANA PESA, NA WANAJITAHIDI KUJIWEKA JIRANI NA MAREHEMU!.......Sisi wengine hatufahamu yaliyojiri bhana....:tape:
Ndio yeye, alikuwa anatoka Mererani alipofika eneo liitwalo Majengo ndipo akavamiwa na kupigwa risasi nane akafia palepale. Alikuwa ametoka kununua mzigo mkubwa sana (madini) wamechukua. Jeshi la polisi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha linawasaka watuhumiwa
Naona leo umuhimu wa polisi Arusha umeonekana
Siku ya kufa kwako ndio mwisho wa kila kitu kwani ndio unawaachia wale uwapendao waendeleze mazuri uliyowaanzishia.
Ni kweli inabidi tumrudie Mungu wetu kwani maisha ni mafupi sana na yanaweza kukatizwa anytime.
Pamoja na tofauti zetu mtu akifariki inabidi tumuombee apumzike kwa amani.
Arusha inatisha sana kwa kweli, polisi wasipokuwa makini soon itakuwa kama Syria (uhai hauna thamani huko)
Mungu atupishie mbali haya majanga
Lakini jamaa ndo wakwanza kuimiliki io gari arusha iko wazi
.......wacha ujinga wewe ! ...kuna mchimba Tanzanite yeyote mwenye hata kiwanda cha maji ?
Una gharama gani mkuu kungurumisha jenereta,Compressor, wapate Oksijen? Au zile baruti za wahindi wanazonunua Nairobi? Hakuna mwanaApollo anayelipwa,hawana bima ya afya,hawajaajiriwa yaan ni very local. Mkuu na wanaondesha mgodi kama AFGEM au TANZANITE ONE tutasemaje?
Ninae ndugu ana mgodi huko ni ana hela lakini huwez kumuita Billionair.
Unaweza kuta tunabishana kitu ambacho wote hatukijui je Bilionea ni nani?? nini kinafanya mtu aitwe bilionea? Tuanzie hapo kwanza...... Then ka huko kwenu kuna watu wana hela sana nani amekukataza kuwaita mabilionea??? Fafanua kwanza concept ya Bilionea then tuendelee