soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,114
- 2,339
Charity begins at home, si mlisema nchi haitatawalika?
Naona mnaanzia Arusha, na inaelekea hilo ni trela!!
Acha hizo weweee...peleka siasa zako huko. Arusha mwaichukia kisa watu wake hawapendi kulea madhaifu ya viongozi, hawaongeki kwa khanga, tshirt na kofia.Naona mnaanzia Arusha, na inaelekea hilo ni trela!!
Rest in peace Erasto...auwaye kwa upanga naye atauwa kwa upanga...muaji subiri hukumu yako toka kwa Mungu tena mara mbili ya hiyo uliyompiga mwenzio.