Prishaz, wacha tu jamaa ana roho mbaya kichizi huyo, natamani asitoke lupango na hizo pesa zake za kusumbulia watu mjini hapa,msxiiii natamani asitoke huko huyu jamaa basi tu na mapolisi wetu hawa na pesa alizonazo sijui.
Kama alikuwa upande ule lolote linawezekana kwani hawa jamaa kwa sasa kumpoteza mfuasi mmoja wa kule ni sawa na wale wanaosema kujilipua na kuua muizlael 1 unaenda peponi moja kwa moja.
Ndo msimuite Billionare...
Mungu ana siri kubwa sana na maisha yetu,ni wajibu wakila mwenye pumzi kumshukuru kwa kila nukta ya hatua anayopiga,huyu mtu simjui but nimeangalia hizi picha zimeniumiza sana moyo,kaondoka asubuhi nyumbani may be kaagana na familia yake kwa furaha,"wanangu tutaonana jioni" but jioni hajaiona hata kwenda kuwaaga wanawe hajapata nafasi hiyo tena.jamani ndugu zangu tusali,tusali sana japo Mungu atuonee huruma atupunguzie na maadui,nawe kwa nafasi yako ktk jamii waheshim watu hata ukiwa tofauti nao kiasi gani,watu tunaisha jamani tunaishaa!!!Mungu akurehemu ulale pema Ndg.Erasto Msuya.
Sir mimi ,maneno yako mazito sanaa yaani yamenifanya nisikie kama hizo risasi ndio zimeniingia mimi...kweli..,ulale pema peponi ErastoMungu ana siri kubwa sana na maisha yetu,ni wajibu wakila mwenye pumzi kumshukuru kwa kila nukta ya hatua anayopiga,huyu mtu simjui but nimeangalia hizi picha zimeniumiza sana moyo,kaondoka asubuhi nyumbani may be kaagana na familia yake kwa furaha,"wanangu tutaonana jioni" but jioni hajaiona hata kwenda kuwaaga wanawe hajapata nafasi hiyo tena.jamani ndugu zangu tusali,tusali sana japo Mungu atuonee huruma atupunguzie na maadui,nawe kwa nafasi yako ktk jamii waheshim watu hata ukiwa tofauti nao kiasi gani,watu tunaisha jamani tunaishaa!!!Mungu akurehemu ulale pema Ndg.Erasto Msuya.
Ndo tatizo watu wa Arusha akishakuwa na Resort hapo Sakina mnaanza kumuita Billionair,,sema ana hela yakusaidia familia yake.