Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Wanasema kuna visasi:
Kuna jamaa anaitwa Mtinange walishaleteana sana ktk mambo ya buainess mpaka Erasto akamfunga.
Issue ya Chusa(jamaa aliyeuwa juzi kule tz1) walikuwa hawaivi ktk mambo ya business.
Wake za watu alikuwa ni mtaalam sana wa kuwapa huduma za kimwili na maumbile
 
Haswaaa kuna mahali niliambiwa SG ni initial ya majina ya watoto wake may be Glory and Simon ....

oooh too sad! RIP Erasto, Ngongo Ar inatisha sasa naona matukio ya zamani yakirejea taratibu! Mungu awape faraja wafiwa
 
Last edited by a moderator:
R.I.P.
Alikuwa ame upgrade hotel yake hivi karibuni na nafikiri alikuwa hajamaliza. Alikuwa muhimu kwa maendeleo ya Arusha..na taifa kwa ujumla. Nafikiri serikali inatakiwa kuliangalia upya swala la kumiliki silaha..maana wafanyabiashara wa madini wengi wanamiliki silaha..wenda ikawa wanazitumia vibaya.
 
huyu chusa si amemuondoa mtu juzi tu jamani! Kweli ubinadamu kazi!

Prishaz, wacha tu jamaa ana roho mbaya kichizi huyo, natamani asitoke lupango na hizo pesa zake za kusumbulia watu mjini hapa,msxiiii natamani asitoke huko huyu jamaa basi tu na mapolisi wetu hawa na pesa alizonazo sijui.
 
aisee
Arusha noma, ukiwa napesa unatakiwa usijulikane shida ni mjini town paduchu wanajuana wooote, kufatiliwa ni rahisi sana.
R.I.P Erasto
 
Mmmmmmh! Huyu Marehemu ni jirani yangu kbs!
Mwenyenzi mwingi wa rehema ampe pumziko ya milele shambani mwake Bwana!
 
Wanasema kuna visasi:
Kuna jamaa anaitwa Mtinange walishaleteana sana ktk mambo ya buainess mpaka Erasto akamfunga.
Issue ya Chusa(jamaa aliyeuwa juzi kule tz1) walikuwa hawaivi ktk mambo ya business.
Wake za watu alikuwa ni mtaalam sana wa kuwapa huduma za kimwili na maumbile

ngoma ipo hapo!
 
Ndo tatizo watu wa Arusha akishakuwa na Resort hapo Sakina mnaanza kumuita Billionair,,sema ana hela yakusaidia familia yake.[/QUOTE

Thamani ya hiyo resort ni Billions! Na kaijenga kwa pesa zake wala si mkopo kutoka benki...na bado ana assets nyingine..kwa mazingira ya kitanzania na umaskini huu tulionao huyu ni billionea..
 
sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh

tiririka tu mama, poleni kwa msiba wanaapolo na makamanda wa arusha wote
 
R.I.P.
Alikuwa ame upgrade hotel yake hivi karibuni na nafikiri alikuwa hajamaliza. Alikuwa muhimu kwa maendeleo ya Arusha..na taifa kwa ujumla. Nafikiri serikali inatakiwa kuliangalia upya swala la kumiliki silaha..maana wafanyabiashara wa madini wengi wanamiliki silaha..wenda ikawa wanazitumia vibaya.



Mkubwa hapo juu umenena kweli! Umiliki wa silaha umekuwa hovyo kweli kweli.
 
Mkubwa hapo juu umenena kweli! Umiliki wa silaha umekuwa hovyo kweli kweli.

Yaa.
Pia kutokana na kuwa na silaha hawa jamaa wanajiamini sana mara nyingi hutunza pesa nyingi kwenye magari, ofisini kwao na hata nyumbani.pi hii uhatarisha maisha yao.
 
alipanda chai maharage ikamleta mjini huyo, wengine sisi ni "watoto wa disco malapa" hajui lolote huyo.

hahaha Nyamayao asante kwa kunichekesha umenikumbusha enzi za chai maharage,halafu kama nakufahamu vile ngoja niseti antena yangu vzr lol
 
Last edited by a moderator:
Thamani ya hiyo resort ni Billions! Na kaijenga kwa pesa zake wala si mkopo kutoka benki...na bado ana assets nyingine..kwa mazingira ya kitanzania na umaskini huu tulionao huyu ni billionea..
Forbes wanamjua? Kina Slim wataitwa nani sasa? Mfano mi nina nyumba yangu nimeijenga kwa Mil.100 utaniita Millionair?

Mkuu huyo ana hela za kawaida tu,,,inaelekea hata kaka yangu Hussein Gonga siku akifa nae mtamuita Billionair maana nae ana ofisi zake hapa Tanzania HUGO zinadeal na Tiles na pia maghorofa yake hapo Arusha karibia na stand anayajenga,,ni sawa ana hela lakini namuona ya kawaida tu.

Basi Tanzania kama ndo hivyo tuna maBillionair kuliko hata Saudia na Marekani.
 
Wanasema kuna visasi:
Kuna jamaa anaitwa Mtinange walishaleteana sana ktk mambo ya buainess mpaka Erasto akamfunga.
Issue ya Chusa(jamaa aliyeuwa juzi kule tz1) walikuwa hawaivi ktk mambo ya business.
Wake za watu alikuwa ni mtaalam sana wa kuwapa huduma za kimwili na maumbile

Hapo ni Chusa na mke wa mtu,arusha ukiwa na hela wanawake wanajileta sasa jamaa akawa hawaachii
 
Wanasema kuna visasi:
Kuna jamaa anaitwa Mtinange walishaleteana sana ktk mambo ya buainess mpaka Erasto akamfunga.
Issue ya Chusa(jamaa aliyeuwa juzi kule tz1) walikuwa hawaivi ktk mambo ya business.
Wake za watu alikuwa ni mtaalam sana wa kuwapa huduma za kimwili na maumbile

Hapo ni Chusa na mke wa mtu,arusha ukiwa na hela wanawake wanajileta sasa jamaa akawa hawaachii anagonga adi wake za wana apolo wenzie
 
Back
Top Bottom