Hapo ni Chusa na mke wa mtu,arusha ukiwa na hela wanawake wanajileta sasa jamaa akawa hawaachii
sio arusha tu, hiyo ni kila mahali ipo, pesa mwanaharamu, lakini kwa hili sio mke wa mtu wala nini, watu wa mererani kwa wanawake wanajulikana hatukatai lakini kwa Erasto hapana, sio kwamba na yeye alikuwa hana wanawake alikuwa nao lakini kwa hili la leo picha ni huyo mnyakyusa!

Hapo ni Chusa na mke wa mtu,arusha ukiwa na hela wanawake wanajileta sasa jamaa akawa hawaachii anagonga adi wake za wana apolo wenzie
Utaenda kuisadia police...ohoo!
Mi naona mawazo yako ni finyu sana!
Bado nakutafakari! Hivi huyu marehemu unamjua vizuri wewe kweli? Ama umeamua kutoa mapovu hapa jukwaani tu?
Aisee kifo cha Erasto kimeniuma sana nimemjua muda wa miaka 2 tu iliyopita. Hakuna baya nililosikia kuhusu yeye hata ck 1 alikuwa mtu wa watu aliyependa wafanyakazi wake pale SG RESORT kuwapa tipu za motisha kila walipofanya vzr na kuwasaidiakimaisha. Imeniuma sana aisee . Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi. Jambo 1 ambalo najiuliza hv ukimuua mwenzako hata kama mna mgogoro utapata amani ya maisha? Hivi siku ukikutana na mjane wa familia ya uliyemuua unasikia raha ama karaha? I USED TO SAY MONEY IS NOT EVERYTHING BUT GOD IN HEAVEN
Na wewe unataka kujifanya unamjua sana wewe ni mkewe?
Ndio yeye, alikuwa anatoka Mererani alipofika eneo liitwalo Majengo ndipo akavamiwa na kupigwa risasi nane akafia palepale. Alikuwa ametoka kununua mzigo mkubwa sana (madini) wamechukua. Jeshi la polisi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha linawasaka watuhumiwa
Ndiye mwenyewe.What??? Erasto wa SG Resort au?????
Na wewe unataka kujifanya unamjua sana wewe ni mkewe?
sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh
sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh