Sisi wazee wa kudadavua mambo ebu tujuze kidogo katika maisha yake alikuwa mfuasi wa chama gani cha kisiasa ikizingatiwa ukiwa na vijifedha basi moja kwa moja unakuwa mfadhiri wa chama hicho. Zaidi ya yote nawapa pole wafiwa R.I.P Erasto Msuya.Mfanyabiashara maarufu Erasto Msuya ameuawa kwa kupigwa risasi eneo la KIA wilayani Hai mkoani Kilimanjaro mapema leo.
..........eeeeh!! kaka ana hela huyu jamani, una nyumba ya Milioni 100?. Asante kwa taarifa.Forbes wanamjua? Kina Slim wataitwa nani sasa? Mfano mi nina nyumba yangu nimeijenga kwa Mil.100 utaniita Millionair?
Mkuu huyo ana hela za kawaida tu,,,inaelekea hata kaka yangu Hussein Gonga siku akifa nae mtamuita Billionair maana nae ana ofisi zake hapa Tanzania HUGO zinadeal na Tiles na pia maghorofa yake hapo Arusha karibia na stand anayajenga,,ni sawa ana hela lakini namuona ya kawaida tu.
Basi Tanzania kama ndo hivyo tuna maBillionair kuliko hata Saudia na Marekani.
Wanawake wengi ni matomaso, yaani mpaka waone ndo waamini. Ndiyo maana wengine wameolewa na majambazi hawajui mapaka siku yakikamtwa, wameolewa na mashoga hawajui mpaka siku wakikamatwa. Kwa hiyo siwezi kukushangaa Nyamayao kwa kutokuweka hata chembe ya negativity kwenye hili. Nakuheshimu sana kwa michango yako hapa jukwaani lakini kwa hili ni la kijinsia zaidi na siwezi kukushushia PH yako kwenye jukwaa. Asante
hawajakimbia na briefcase wapigwa risasi tu bila kuchukuliwa hata kitu...akome kudhulumu watu....
Ndo tatizo watu wa Arusha akishakuwa na Resort hapo Sakina mnaanza kumuita Billionair,,sema ana hela yakusaidia familia yake.
hawajakimbia na briefcase wapigwa risasi tu bila kuchukuliwa hata kitu...akome kudhulumu watu....
ngoja kwanza.. Erasto huyu mwenye SG resort, pale sakina????
Mfanyabiashara maarufu
wa madini Mererani na Mmiliki wa SG RESORT ya Arusha, Bw. Erasto Msuya
Amepigwa risasi ndani ya gari lake na kufa papo hapo mida hii akitokea
Mererani kuelekea Moshi.
Yasemekana wauaji wamekimbia na briefcase lake.
![]()
![]()
Bilionea wa madini ya Tanzanite Erasto ameuwawa kwa kupigwa risasi.Habari zaidi zitafuata baadae.