Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Ndugu Masopakyindi samahani ila naridhia kusema wewe ni mbulula wa hedi maana umeamua ku disguise kama vile wewe ni wa serikali ili kuleta uchochezi humu. Sasa nimekugundua na nadhani wengi wamekugundua wewe na wenzio wa aina yako, umenoa ndugu.
 
sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh

labda awe amekudhulumu wewe, kwa tunaomjua vizuri hana hiyo tabia kabisaaaa atakuwa ameianza kwako.

huyu chusa si amemuondoa mtu juzi tu jamani! Kweli ubinadamu kazi!

tena sana, unataka kunisaidia kuya solve? na wewe alikutapeli? mxsiii Erasto awatapeli kwa shs ngapi, labda mlitapeliwa na huyo "chusa" wenu.

Wanasema kuna visasi:
Kuna jamaa anaitwa Mtinange walishaleteana sana ktk mambo ya buainess mpaka Erasto akamfunga.
Issue ya Chusa(jamaa aliyeuwa juzi kule tz1) walikuwa hawaivi ktk mambo ya business.
Wake za watu alikuwa ni mtaalam sana wa kuwapa huduma za kimwili na maumbile

achana nae,hajui anachokisema

Prishaz, wacha tu jamaa ana roho mbaya kichizi huyo, natamani asitoke lupango na hizo pesa zake za kusumbulia watu mjini hapa,msxiiii natamani asitoke huko huyu jamaa basi tu na mapolisi wetu hawa na pesa alizonazo sijui.

hahaha Nyamayao asante kwa kunichekesha umenikumbusha enzi za chai maharage,halafu kama nakufahamu vile ngoja niseti antena yangu vzr lol

Hapo ni Chusa na mke wa mtu,arusha ukiwa na hela wanawake wanajileta sasa jamaa akawa hawaachii anagonga adi wake za wana apolo wenzie

LINCO, nami nakuheshimu sana pia, nikuambie tu bado nasimamia maneno yangu na ninajua kwanini nayasimamia! kama ishu ya mwanamke labda ibambikwe juu kwa juu, upo arusha hii? kama ndio unawajua watu wa madini vizuri?

Labda wazurumati sana
kuna watu km wanajua kitu ?
 
Dhuluma sio nzuri popote! Lkn kifo nacho hakimfurahishi mtu yeyote mwenye roho ya ubinadam! Kama jamaa alidhulumu mm sijui! Tuishi kwa kupendana ndugu zangu! Tujifunze kwa hili ili tutambue kutembea na uwepo wa mungu popote! Mungu atusaidie sote! R p i jembe
 
Nyamayao nikiwa sokoni nijasikia habari za mfanyabiashara maarufu kupigwa shara, tena huyo chalii akasisitiza kapigwa risasi nane!!

Nikajua nikifika hapa nitapata dondoo za chanzo cha kifo chake.

Lakini kwa mujibu wa huyo chalii mke wa mtu ndiyo kamponza!!! Sasa sijui alichukua mke wa nani mpaka jamaa amfanyie namna hiyo.

Binafsi simfahamu vizuri lakini SG Hotel iliyopoo opposite na GB Shell naifahamu na nimesikitika sana kwa kuwa mazingira ya kifo chake kimetokea katika mazingira ya utata.
 
Last edited by a moderator:
sema hapa kwetu watu wana hela nyingi ambazo hazina maelezo zilivyopatikana. uctishike kuckia bilionea ndugu hizo ni bilion za kibongo sio dola. mbona hizo hapo kkoo watu wanazo nyingi tu? mimi mwenyewe japo nipo under 33 ninazo tu. nyumba kwa mfano kama uliwawah wale wazee waliouziwa zile nyumba za serikali tuseme pale regent ukaweza kununua mbili muda huu wewe ni mtu mwingine. so ukisikia bilionea ujue ni TSHS sio dola. so kwa hela zetu za bongo wapo wengi tu usiogope kaka.



Bora umenielewesha mkuu maanake hawa ndugu zake wa Arusha ukimiliki mali kidogo tu wanakupa title ya uBillionea hapo ndo napochoka, tatizo mji wa Arusha ni mdogo ukiwa na hotel moja tu utajulikana hadi na mtoto na wenye hela ni wachache.
 
attachment.php


View attachment 106141
 
Nyamayao nikiwa sokoni nijasikia habari za mfanyabiashara maarufu kupigwa shara, tena huyo chalii akasisitiza kapigwa risasi nane!!

Nikajua nikifika hapa nitapata dondoo za chanzo cha kifo chake.

Lakini kwa mujibu wa huyo chalii mke wa mtu ndiyo kamponza!!! Sasa sijui alichukua mke wa nani mpaka jamaa amfanyie namna hiyo.

Binafsi simfahamu vizuri lakini SG Hotel iliyopoo opposite na GB Shell naifahamu na nimesikitika sana kwa kuwa mazingira ya kifo chake kimetokea katika mazingira ya utata.

Mkuu hata mimi nimeskia ni yule mwanamke aletaka kumuua mume wake mfanya biashara wa madini pia ili alithi mali ndio aliemponza,mume kalipiza
 
Last edited by a moderator:
R.I.P Mpambanaji, hakika Wema Hawana Maisha!!??
mkuu inasikitisha sana!huyu Erasto namfahamu sana,nakumbuka mwaka 2005 nilienda mererani nikamkuja jamaa yupo kwenye gorofa lake lililopo pale kando ya stand ya magari mererani.
 
yeah ana hela ya kusaidia familia yake wewe una za kumsaidia dem wako eheheheee auu una za kusaidiaaaa nway cjui y hili jina la blionair linawaumizaga. Bas poa

Ushamba huo au ukinunuliwa nyama na hao wanaApollo ndo unawaita maBillionair? Na kina Dakote wenye utajiri wa $ 2Billion tutawaitaje? Bakhresa mwenyewe huku hajawahi kuitwa hilo jina itakuwa huyo mwenye kahotel,,,level zake huku Bongo kama kina shigongo mwenye hotel na miradi.
 
Hivi Arusha kila mtu ni Billionea eeh??basi Arusha ndo itakuwa inaongoza kwa mabillionea

P.K.A Bilionea Erasto!
 
Ndio yeye, alikuwa anatoka Mererani alipofika eneo liitwalo Majengo ndipo akavamiwa na kupigwa risasi nane akafia palepale. Alikuwa ametoka kununua mzigo mkubwa sana (madini) wamechukua. Jeshi la polisi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha linawasaka watuhumiwa

Hao majambazi hakuna atakayebaki hata moja. chezea wapare!!!!!
 
Nyamayao nikiwa sokoni nijasikia habari za mfanyabiashara maarufu kupigwa shara, tena huyo chalii akasisitiza kapigwa risasi nane!!

Nikajua nikifika hapa nitapata dondoo za chanzo cha kifo chake.

Lakini kwa mujibu wa huyo chalii mke wa mtu ndiyo kamponza!!! Sasa sijui alichukua mke wa nani mpaka jamaa amfanyie namna hiyo.

Binafsi simfahamu vizuri lakini SG Hotel iliyopoo opposite na GB Shell naifahamu na nimesikitika sana kwa kuwa mazingira ya kifo chake kimetokea katika mazingira ya utata.

my bro, hili game linaweza kukaangwa vilivyo haswa, hapa bado wanasema na jamaa wa moshono alietaka kuuliwa na mkewe nae ana mkono hapa coz Erasto alikuwa anatembea na mkewe, nikipata muda nitaku pm kaka, lakini bado nipo kwenye saga lake na chusa, wanawake wataingizwa tu ili kiwe cha kuwa.
 
Hivi jamani huyu marehemu Erasto ana baba yake aliejulikana kama mzee Kikaango bado yupo?
 
Back
Top Bottom