masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Kwani hujui kuwa huko ndo ngome ya CHADEMA?jamani kulikoni wafanyabiashara wa Arusha na kuuawa!??
Kwani hujui kuwa huko ndo ngome ya CHADEMA?jamani kulikoni wafanyabiashara wa Arusha na kuuawa!??
Long way to Go!!!!!!!
List Yao ni 22 so bado sana mtasikia mengi
Zadi
Kwani hujui kuwa huko ndo ngome ya CHADEMA?
Labda wazurumati sanajamani kulikoni wafanyabiashara wa Arusha na kuuawa!??
sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh
Aliwahi kukuzulumu?au unabwabwaja tuu mwizi mkubwa wewe.We unamchukia kutokana na mafanikio yake.
mola amlaze sehemu staili...
Charity begins at home, si mlisema nchi haitatawalika?Huu uchokozi wa ngumi huu
Mkuu ebu fafanua tukuelewe
ngoja kwanza.. Erasto huyu mwenye SG resort, pale sakina????