Haiwezekani wasichukue kitu, Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehem mahali pema, malipo hapahapa duniani naakika aliyetenda hivyo na yeye atatendewaNdiyo huyo jamaa, nikweli
amefariki kwa kupigwa risasi 8 kwa mujibu wa jamaa aliyeko karibu na
eneo la tukio. Na inasemekana hawajachukua kitu chochote kwenye gari
lake.
hawajakimbia na briefcase wapigwa risasi tu bila kuchukuliwa hata kitu...akome kudhulumu watu....
Mfanyabiashara mkubwa wa madini na hotel jijini Arusha anayefahamika kwa jina la Erasto Msuya amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi. Hali hiyo imetokea eneo la KIA wilayani Hai.
Habari zaidi zitawajia.
Hapo kwenye RED kama polisi wetu wapo makini na kama sio wao waliohusika wahusika kukamatwa ni rahisi sana kwani kutress simu zilizowasiliana na marehemu kupitia mitandao ya simu ni easy pia kama polisi wakitaka kupata taarifa zaidi wewe unaweza kuwa msaada mkubwa sana kupatikana kwa waharifu kwani unajua kila kitu kwani wakati anapigiwa simu inawezekana ulikuwepo au wewe ndiyo uliopiga simu hiyo.Ndio huyo,mwili bado upo pale KIA polisi,alipigiwa simu kuitiwa deal,alipofika akapigwa risasi
R.I.P
Watuhumiwa wa ulimboka tuliwapata? Wa mabomu arusha?kanisa kurushiwa bomu,watuhumiwa walipatikana? Madawa ya kulevya ya akina masogange watuhumiwa wamepatikana?uchunguzi wa ndege iliyomuua bob sambeke vp ilishatoka?chadema walishatoa mkanda wa mauaji?
Samahani nilikuwa nje ya nchi kidogo sasa nataka kujua kinachoendelea nchini....
Forbes wanamjua? Kina Slim wataitwa nani sasa? Mfano mi nina nyumba yangu nimeijenga kwa Mil.100 utaniita Millionair?
Mkuu huyo ana hela za kawaida tu,,,inaelekea hata kaka yangu Hussein Gonga siku akifa nae mtamuita Billionair maana nae ana ofisi zake hapa Tanzania HUGO zinadeal na Tiles na pia maghorofa yake hapo Arusha karibia na stand anayajenga,,ni sawa ana hela lakini namuona ya kawaida tu.
Basi Tanzania kama ndo hivyo tuna maBillionair kuliko hata Saudia na Marekani.
labda awe amekudhulumu wewe, kwa tunaomjua vizuri hana hiyo tabia kabisaaaa atakuwa ameianza kwako.
bwanaeeh, watu wengi ndio mnamjua ila msitake kutuambia mnafaham kila bness aliyokuwa anafanya,na km ni halali,yy na Mungu ndo wanajua! Sio kutetea tu!
...haiwezekani mtu from no whr akuue halafu asichukue kitu chochote
..za kuambiwa changanya na zako