Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Hivi unajua mgodi wa Tanzanite una thamani gani?? Unajua gharama ya kuendesha mgodi wa Tanzanite tena bila kutegemea mkopo toka bank? Kwa nini mtu anaemiliki hivyo asiitwe bilionea stop hatred

.......wacha ujinga wewe ! ...kuna mchimba Tanzanite yeyote mwenye hata kiwanda cha maji ?
 
By Chimbuvu Watuhumiwa wa ulimboka tuliwapata? Wa mabomu arusha?kanisa kurushiwa bomu,watuhumiwa walipatikana? Madawa ya kulevya ya akina masogange watuhumiwa wamepatikana?uchunguzi wa ndege iliyomuua bob sambeke vp ilishatoka?chadema walishatoa mkanda wa mauaji?
Samahani nilikuwa nje ya nchi kidogo sasa nataka kujua kinachoendelea nchini....


ewe dhaifu,ufitini uo wapi hapo? polisi si wamesema wanachunguza kifo?hadi cha mwangosi?



Mbona unatoka nje ya mada we mfitini
 
Range Rover tatu....ni almost Bilioni.
Ukiingia SG Resort hata kwa nje tu unagundua kuwa ni investment ya zaidi ya TZS 4 billion.

....mbona walitajwa Said Bakhresa, Ali Mafuruki na Mengi na akina Mohamed Dewji !
au hamkupeleka data zao ?

Range tatu zinamuingizia nini na zimeajiri watu wangapi !?
Ali Dangote hapimwi kwa magari ya kutembelea, bali uwekezaji !
 
sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh

Tiririka unangoja nini babake!!!
 
............wacha uzushi na maneno ya karaha, tusije tukaibadilisha topic hapa !
ndo nyie mnaodanganywa kuwa kunat Taifa Teule la Mungu, na mengine Mungu hana habari nayo !....idiot !
Umedandia Train kwambele ndugu hoja hauijui.
 
Ushamba huo au ukinunuliwa nyama na hao wanaApollo ndo unawaita maBillionair? Na kina Dakote wenye utajiri wa $ 2Billion tutawaitaje? Bakhresa mwenyewe huku hajawahi kuitwa hilo jina itakuwa huyo mwenye kahotel,,,level zake huku Bongo kama kina shigongo mwenye hotel na miradi.

Wacha maneno mingi.
Alikuwa na billions of TZS.

Btw Aliko Dangote yuko kwenye $13 billion.
 
Range Rover tatu....ni almost Bilioni.
Ukiingia SG Resort hata kwa nje tu unagundua kuwa ni investment ya zaidi ya TZS 4 billion.
Mkuu usibishane nae huyo,

Kwa tshs jamaa alikuwa bilionea kwa hizo assets tu ulizotaja na hatujui turn over ya biashara yake ya madini.

R.I.P

Naona leo umuhimu wa polisi Arusha umeonekana
 
sad news kwakweli..hoteli itakufa ile.. damn the guy alikua anavaa cheni la gold nene saana dah.. rest in peace erasto.. he was a good guy

ndio ujue kafa sasa japokuwa alikuwa anavaa huo mcheni wa gold.
 
ewe mwanadamu pesa na magari sio kitu, tuutafute kwanza ufalme wa mbingu, ebu angalia marehemu Erasto amepakiwa kwenye karandiga la polisi akiwa amelazwa chini wakati alikuwa akimiliki magari ya kifahari ya kila namna!! siku zetu ni chache hapa duniani tumrudie MunguView attachment 106159
Siku ya kufa kwako ndio mwisho wa kila kitu kwani ndio unawaachia wale uwapendao waendeleze mazuri uliyowaanzishia.

Ni kweli inabidi tumrudie Mungu wetu kwani maisha ni mafupi sana na yanaweza kukatizwa anytime.

Pamoja na tofauti zetu mtu akifariki inabidi tumuombee apumzike kwa amani.

Arusha inatisha sana kwa kweli, polisi wasipokuwa makini soon itakuwa kama Syria (uhai hauna thamani huko)

Mungu atupishie mbali haya majanga
 
ewe mwanadamu pesa na magari sio kitu, tuutafute kwanza ufalme wa mbingu, ebu angalia marehemu Erasto amepakiwa kwenye karandiga la polisi akiwa amelazwa chini wakati alikuwa akimiliki magari ya kifahari ya kila namna!! siku zetu ni chache hapa duniani tumrudie MunguView attachment 106159

Mh!!!!!!huzuni sana haya mambo na umesema kweli kabisa ndugu yangu,binadam tumejisahau sana ktk kuishi kwenye hii ardhi ya Mungu wetu tunasahau kwamba ikifika mwisho yooote ulojiekea utayaacha,,umenikumbusha Injili ya Kanisani kwetu juzi Jpili,,Tajiri aliejaza maghala yake kwa mavuno mengi baada ya hapo akakaa miguu juu akiwaza ni namna gani atatumia mazao yake,akamsahau Mungu aliemuumba nakumpa vyote na usiku uleule Mungu akamtokea kuuchukua uhai wake!ndugu zanguni tusali nakujiandaa na siku zetu zamwisho japo hatujui siku wala saa!aah,,huzuni sana aise
 
Forbes wanamjua? Kina Slim wataitwa nani sasa? Mfano mi nina nyumba yangu nimeijenga kwa Mil.100 utaniita Millionair?

Mkuu huyo ana hela za kawaida tu,,,inaelekea hata kaka yangu Hussein Gonga siku akifa nae mtamuita Billionair maana nae ana ofisi zake hapa Tanzania HUGO zinadeal na Tiles na pia maghorofa yake hapo Arusha karibia na stand anayajenga,,ni sawa ana hela lakini namuona ya kawaida tu.

Basi Tanzania kama ndo hivyo tuna maBillionair kuliko hata Saudia na Marekani.

Ili uwe bilionea lazima forbes wakujue,?acha ulimbukeni
 
it is only God who has the absolute right to life, inauma sana kuona binadamu anasitisha uhai wa mwanadamu mwenzake, what is money? pumzika kwa amani kaka yangu na watakukuta tangulia kwa amani kaka, nasi twaja wanadamu wamebadilika sana watu hatuangaliani mara mbili kila mtu anawindwa, kakosea nini jamani risasi 8 kweli unamimina mwilini kwa mtu?inauma sana, wanaona raha gani hao waliomuua? inaumiza sana ndugu zangu, harafu jamani tuache kuleta kejeri katika masuala ya kusikitisha kama haya, pls tuweni na huruma tupeane taarifa na pole lakini kuanza kumdhihaki mtu ambaye sasa hawezi kutujibu na wala hawezi kufumbua macho, please ndugu zangu, hata kama alikuwa na nini ama nini but let us pray for his journey. Mungu ampe hifadhi salama. Amen
 
Mabilionea wa Arusha bana. Wakifa eti ndo tunasikia ubilionea wao.

Halafu hiyo Arusha inaonekana ina concentration kubwa sana ya mabilionea duniani.
Usikute hata PakaJimmy naye bilionea:clap2:

arusha wanachekesha kweli...yaani mtu ana range rover tatu na kahoteli kake nae BILLIONAIRE....sasa kariakoo kumejaa magorofa ya watu ambao hata mjini hapa hawajulikani,huko sinza hivyo vihoteli mbuzi vimejaa kibao na wamiliki hata haawajulikani ila wangekuwa arusha kila mtu angewajua MABILLIONAIRE HAWA....lakini NN lazima uelewe hawa ni billionaires wa TSHS......so haki yao kuwaita mabilionea
 
Watu wa dar tabu kwel mnaendesha Raum na nyumb za kupanga na kaz z kuajiriwa mtafikia lini Arusha? Wewe tembelea Mji wa Arusha uone jinsi wazawa wanavyo invest mjini akina Kiure . Sasa dar matajiri n wahindi na wauza madawa 2 hamna lolote uswahl unawasumbua 2. Wa2 wanafanya kaz bhana co maneno . Hv mnaijua SG RESORT ? Co hotel ya kitoto more than ten floor halafu hajachukua mkopo n kwa hela ya madini sasa akiitwa Bilionea kinawauma tangu apo keshafariki .ila jambo 1nasisitza kama m2 anastahl sifa kwa mamb mazur ya n nn kumkandia ? Ndo yale hamna uwezo wa kununua gar lakn rafk yako akinunua unaumia moyo why? Co lazma wote 2we tajiri
 
Back
Top Bottom