Bilionea my foot ! kama anajulikana na wewe na mkeo, ni huko Arusha. tunakerwa na uposhaji wenu wa kisifa za kijinga jinga !
bilionea kwa vigezo hivyo, basi hata waingiza nguo za china hapo Kariakoo hapo Dar, nao ni mabilionea !
Na wewe hutawaliki nini?BBB: Boring Beyond Belief!
nani kakuuliza? hapa ni msibani kuwa na adabu!We mwenyewe usingepoteza muda kwenye huu uzi ulitumwa unijibu au Pedi inakusumbua haijakaa vizuri?,,nina hela zinazonitosha mimi, tatizo lako ukinunuliwa nyama choma na bia hapo Bugaloo utakuja kuniita billionair bure. Hamnipi shida nyie watu wa Arusha nimekaa huko 16yrs nawajua Inn and Out na kizuri mama yangu ni mtu wa huko.
Huyu jamaa alikuwa tajiri sana kwwenye jiji la Arusha alikuwa wa pili kama sio wa tatu alikuwa na hotel kubwa nyuma ya triple A alikuwa na vogue evogue. Alikuwa na ndege binafsi
nani kakuuliza? hapa ni msibani kuwa na adabu!
Huyu jamaa alikuwa tajiri sana kwwenye jiji la Arusha alikuwa wa pili kama sio wa tatu alikuwa na hotel kubwa nyuma ya triple A alikuwa na vogue evogue. Alikuwa na ndege binafsi
Tutajie "MABILIONEA" wengine wa Jiji la Arusha ili iwasaidie TRA kuweza kuwatambua!