TANZIA Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga

Kwa nini isiwe ni bhangi, pepo au wamemnyonga huko halafu wakaja kuutundika mwili hapo ili kupoteza mwelekeo?
Msongo wa mawazo kwa Tajiri kweli? Utajiri ulikuwa kwake hauna maana.
Hiv kuwa na duka la vinywaji vya jumla ndio utajiri, mbona hajuna mahala wamesema ni tajir hapo zaid ya ufanya biashara?
 
Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.

Afisa Mtendaji wa mtaa wa Sawe, Simon Majura amesema tukio hilo limetokea katika mtaa wa Sawe wilaya ya Babati Mkoani Manyara na kwamba jeshi la polisi lilifika eneo la tukio kuuchukua mwili.

Majirani wanasema hakuwa na ugomvi na mtu yeyote isipokuwa siku za hivi karibuni akikuwa mnywaji wa pombe kupindukia hali iliyokuwa inamlazumu mkewe kuwaomba majirani zake wamsaidie kumbeba na kumrejesha nyumbani.

Mushi ameacha mke mmoja na watoto wawili

Clouds
Business rivalry
 
Siamini kama TRA hawahusiki hapo
 
Back
Top Bottom