Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Biashara zina mengi sana..Kama sio madeni basi kaingia pabaya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara zina mengi sana..Kama sio madeni basi kaingia pabaya...
Mikopo,mikopo,mikopoMfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.
Afisa Mtendaji wa mtaa wa Sawe, Simon Majura amesema tukio hilo limetokea katika mtaa wa Sawe wilaya ya Babati Mkoani Manyara na kwamba jeshi la polisi lilifika eneo la tukio kuuchukua mwili.
Majirani wanasema hakuwa na ugomvi na mtu yeyote isipokuwa siku za hivi karibuni akikuwa mnywaji wa pombe kupindukia hali iliyokuwa inamlazumu mkewe kuwaomba majirani zake wamsaidie kumbeba na kumrejesha nyumbani.
Mushi ameacha mke mmoja na watoto wawili
Clouds
Katapeli mtu huyoAccumen Mo na darcity kweli watahuzunika?
Haswaaa!!!Unaweza ukawa na vitu vya muhimu kwenye maisha ila ukakosa amani ya moyo
[emoji29][emoji29][emoji29]
Hao ni miongoni mwa hizo 10%Acha uwongo wewe,machalii wa kichaga kibao tunawatuma mjini hapa,njaa mpaka kwenye kope
Aah mfuasi wa jiwe upo!?Wachaga wanateketea kwa kasi. Daaah
hiyo amani ya moyo ndo kitu muhimu chenyewe ssUnaweza ukawa na vitu vya muhimu kwenye maisha ila ukakosa amani ya moyo
😓😓😓
Hiyo kitu muhimu sanaUnaweza ukawa na vitu vya muhimu kwenye maisha ila ukakosa amani ya moyo
😓😓😓
Hahahahaahah 😃 😃 😃 kusini kwa punje wanatishaLaiti angekuwa tajiri wa nyanda za juu wapuuzi wa kaskazini wangesema ni pesa za punje
Afya ya akili ni shida kubwaWwayi! Kesha kufa baasi tena. Sasa lililopo mbele ni kujikita kwenye mchakato wa mazishi.
Kilichosababisha kufa au kufariki kwake ni kwa uhakika ni hicho kitanzi shingoni mwake.
Kilichomsukuma (motivating factors)hadi akafikia hatua hiyo kukijua ni mtihani. Hata madaktari hawatajua wataishia kusema suffocation, Mental hysteria etc etc - kitakachoendelea imebaki kusikia tetesi, fununu na umbeya tuu. Hakutakuwa na uhakika 100%. Angekuwepo yeye marehemu mwenyewe angebanwa aseme. Sasa hayupo na hajamruhusu mtu mwakilishi amsemee.
Wamemla huyoMfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.