Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ndo mbinu hizo mkuu.CONTROLA mbinu za kivita ndyo hizi au ni msaada tu?
Ila pamoja na yote bado ni msaada mkubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mbinu hizo mkuu.CONTROLA mbinu za kivita ndyo hizi au ni msaada tu?
Upewe nini wewe mtu??Miezi 6 mtu aondoke mbona mtihani sana mkuu. Maana huenda pamoja na frem kuwa bure bado kuna masuala ya kodi , TRA n.k nayo mtu anakuwa ameingia. Baada ya miezi sita pengine asiwe amepata faida bado kwenye biashara yake. Japo ni msaada bado ni mtihani mkubwa kwa mtu baada ya hapo hajui aende wapi
Mkuu, ebu sema neno. Maana nakuona kabisa una neno la kusema, lakini unalimeza...😜[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu sema neno mkuu, maana sio kwa cheko hili..🤨[emoji2][emoji2]
Msaada unatakiwa uwaje uwaje mkuuhakuna msaada wa hivo miezi sita afu kwa mwezi laki tisa huo ni utapeli waziwazi
Kiongozi sio bure; kwani kasema imelipiwa miezi mitatu; inamaana bure ni miezi tatu ya kwanza na miezi tatu mingine unalipia laki tisa kwa kila mweziSasa wakuu, frem ya bure na bado mnalalamika miezi sita haitoshi? Kweli dunia ina watu.
Ndugu acha kuja na mada yako kichwani.Kiongozi sio bure; kwani kasema imelipiwa miezi mitatu; inamaana bure ni miezi tatu ya kwanza na miezi tatu mingine unalipia laki tisa kwa kila mwezi
Njoo nikupe ya town(posta)opposite city mall frame inatizima bibi titi road.Mkuu Natafuta frem ya e money, naomba tuwasiliane
Yawezekana una mtaji na hujui wapi utapata frem au umeshatafuta sana frem lakini hupati Frem. Lakini sio tu Frem ila unahitaji Frem iliyo katike best location.
Huwa sinaga uchoyo katika kuinua mtu anae hitaji kuinuka,sasa nataka kumpa mtu Frem BURE kwa muda wa miezi 6.. Nasema only for 6 months fanya huku ukiwaza baada ya miezi 6 uende wapi au uhamie wapi.
Frem ninayokupa imeshafanyiwa Final touches za ubora wa Hadhi ya Mteja Wa hali ya juuu,ni Frem ya Gharama lakini kwasasa nmeifunga kwasababu zilizoingiliana.
Ni frem iliyolipiwa kodi ya miaka mi 3 kwa mwezi kodi ni 900,000 (laki 9) Nina sababu kwanini nataka msaidia mtu afanye biashara katika hii frem,maana kwasasa nimeifunga TU ipo na sina plans nayo mpka February next year.
Kuliko ni ifunge ikae tu,najua yupo mtu mahali anatamani kujaribu au kuanza biashara lakini Hajapata frem au Hana Pesa ya Frem,sasa kama wewe n mmoja wapo nakupa frem ili ujipime kama biashara unaiweza au huiwezi kwa muda wa miezi 6 TU. Baada ya hapo utakua ushakua mwenyeji naamini kuhama na wateja wako its easy.
Frem iko full branded kwa biashara
1.electronics
2.Emoney Service
3.Accessories
4.Many More
Kama unahisi biashara yako inacheza humo au ina relate na hivyo ruksa karibu,Biashara yoyote inayoweza fanyika kwenye duka kubwa lenye AC na Urembo wa maduka ya SINZA karibu.
Hii si kwa wale wenye biashara za NAFAKA,MADUKA YA MANGI,na wengineo...
Kama unahisi hii inakufaa au ni Fursa kwako Karibu PM.
Kwa mfanyabiashara tu.
Miezi 6 mtu aondoke mbona mtihani sana mkuu. Maana huenda pamoja na frem kuwa bure bado kuna masuala ya kodi , TRA n.k nayo mtu anakuwa ameingia. Baada ya miezi sita pengine asiwe amepata faida bado kwenye biashara yake. Japo ni msaada bado ni mtihani mkubwa kwa mtu baada ya hapo hajui aende wapi
Msaada unatakiwa uwaje uwaje mkuu
Bora kutafuta fremu yako mwenyewe habari za kuhama ni hasara kuliko hata hiyo miezi 6 ya bure. Japo ni jambo jema.