Mfanyabiashara mwenye Uhitaji wa Frem na Una Mtaji

Mfanyabiashara mwenye Uhitaji wa Frem na Una Mtaji

Naona kama kuna kitu haijakaa sawa hapa...🤨
Ebu ngoja kwanza tuone....🤫
 
Hasara yake inafidiwa na ela ambayo ulitakiwa kulipia frem.au hesabu zako umepiga vip..
Hasara utaiona baada ya hiyo miezi 6 kuisha unapotoa vitu vyako kuhamia sehemu nyingine. Na hiyo miezi sita ya kwanza kwenye biashara niyakujitafuta usidhani utaingia na kupata faida kirahisi. Japo jamaa anamoyo wa kujitolea kwa watu wengine
 
Inabd kutizama hiyo frem ya 900,000 hii bure baada ya miezi sita ni kiini macho.
Hapa sema frem iko wapi na ina ukubwa gani. Biashara yakuweza kulipa kodi 900k sio mchezo
 
Back
Top Bottom