Mfanyabiashara mwenye Uhitaji wa Frem na Una Mtaji

Upewe nini wewe mtu??

Miezi 6 kwako ni michache??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, ebu sema neno. Maana nakuona kabisa una neno la kusema, lakini unalimeza...😜
 
Sasa wakuu, frem ya bure na bado mnalalamika miezi sita haitoshi? Kweli dunia ina watu.
Kiongozi sio bure; kwani kasema imelipiwa miezi mitatu; inamaana bure ni miezi tatu ya kwanza na miezi tatu mingine unalipia laki tisa kwa kila mwezi
 
Kuhamamisha Tena baada ya miezi sita ni gharama,hata kama Kuna faida mtu alikuwa kapata itaishia kwenye gharama za kuhamia mahali pengine,ni Bora uiuze moja Kwa moja,mtu mwenye anaejuwa gharama za kuhama hawezi kuingia hayo makubaliano Kwa sababu ya gharama atakazotumia wakati wa kuhama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pembejeo za kilimo zinatoka xnaa.nipe hio frem [emoji3302]
 

We jamaa umezid xx bure unatka kupewa mwaka kwani yako hio .
 
Bora kutafuta fremu yako mwenyewe habari za kuhama ni hasara kuliko hata hiyo miezi 6 ya bure. Japo ni jambo jema.
 
Bora kutafuta fremu yako mwenyewe habari za kuhama ni hasara kuliko hata hiyo miezi 6 ya bure. Japo ni jambo jema.

Hasara yake inafidiwa na ela ambayo ulitakiwa kulipia frem.au hesabu zako umepiga vip..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…