Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Utaishia kuhesabu utajiri wa wenzako. Tafuta pesa, buku saba kwa siku kamwe haiwezi kubadilisha status ya maisha yakoDesderia hotel hongereni!
Huyo ndio tajiri namba 2 wa Chadema wa kwanza ni Nyalandu!
Jiulize, wewe unakopesheka kiasi gani?Sugu ana biashara gani zaidi ya kale kahotel alikokopea mil700?? Au kuvuta mineli nayo biashara?
umedanganywa nini ?Muache kutudanganya kama watoto wadogo hili sio jukwaa la Comedy
Sugu ndio mwekezaji mkuu hapo Ufipa.Utaishia kuhesabu utajiri wa wenzako. Tafuta pesa, buku saba kwa siku kamwe haiwezi kubadilisha status ya maisha yako
Ah Wapi!!!,Na Mbowe je??.Desderia hotel hongereni!
Huyo ndio tajiri namba 2 wa Chadema wa kwanza ni Nyalandu!
Mama ameshawahakikishia mazingira mazuri ya uwekezaji.Bora aende tu huko Afrika Kusini, baadae asije kulalamika.
CCM, CHAMA CHA MAFISADISugu ndio mwekezaji mkuu hapo Ufipa.
Desderia Pub!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndani ya CCM wewe wangapi?
Ujinga ni uhai wa CCM ,ukipambana na CCM umepambana na UJINGA
Wewe una miliki biashara ya Shillingi ngapi??.Tuanzie hapo Kwanza.Sugu ana biashara gani zaidi ya kale kahotel alikokopea mil700?? Au kuvuta mineli nayo biashara?
Mkuu Sugu ni level nyingine sio mwenzetu...harakati kazifanya mno hawezi kutafuta attentio this time! Ni ukweli usiopingika biashara nyingi zilikuwa zinahama, watu wanatafuta sehemu salama kwa uwekezaji...sio sehemu mtu anasema matajiri wataishi kama mashetani, sio sehemu watu watakubambikia kesi za uhujumu uchumi na kodi za uongo! Anyways kwa Sugu kuwa tu na ushkaji na akina Geofrey Mungai ni support kubwa sana kwake wale ni wafanyabiashara wakubwa sana nyanda za juu kusini....Sugu ana biashara gani zaidi ya kale kahotel alikokopea mil700?? Au kuvuta mineli nayo biashara?
WATATU NI POLEPOLE ANAYEKULIPA ELFU 7 KWA SIKU.Desderia hotel hongereni!
Huyo ndio tajiri namba 2 wa Chadema wa kwanza ni Nyalandu!
Pamoja na yote sijawahi kujitangaza kutishia kuondoa biashara zanguJiulize, wewe unakopesheka kiasi gani?
Hahahaaaa.......!WATATU NI POLEPOLE ANAYEKULIPA ELFU 7 KWA SIKU.
Kwa nini Sugu alikuwa anahamisha biashara Tanzania?Desderia hotel hongereni!
Huyo ndio tajiri namba 2 wa Chadema wa kwanza ni Nyalandu!
Sugu ana biashara gani wewe zaidi ya kushinda kwenye kale ka-hotel?Mkuu Sugu ni level nyingine sio mwenzetu...harakati kazifanya mno hawezi kutafuta attentio this time! Ni ukweli usiopingika biashara nyingi zilikuwa zinahama, watu wanatafuta sehemu salama kwa uwekezaji...sio sehemu mtu anasema matajiri wataishi kama mashetani, sio sehemu watu watakubambikia kesi za uhujumu uchumi na kodi za uongo! Anyways kwa Sugu kuwa tu na ushkaji na akina Geofrey Mungai ni support kubwa sana kwake wale ni wafanyabiashara wakubwa sana nyanda za juu kusini....
Alikuwa anataka kuibeba ile hotel?Kwa nini Sugu alikuwa anahamisha biashara Tanzania?
Labda anataka kuibeba ile lodge, maana sidhani hata Kama naweza kuiita ni hotelMtu unayelipwa elfu 7 haya mambo kwako ni mazito sana