Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Joseph Mbilinyi aahirisha kuhamishia biashara zake South Africa ili kumpa nafasi Rais mpya

Sugu ana biashara gani zaidi ya kale kahotel alikokopea mil700?? Au kuvuta mineli nayo biashara?
Mkuu Sugu ni level nyingine sio mwenzetu...harakati kazifanya mno hawezi kutafuta attentio this time! Ni ukweli usiopingika biashara nyingi zilikuwa zinahama, watu wanatafuta sehemu salama kwa uwekezaji...sio sehemu mtu anasema matajiri wataishi kama mashetani, sio sehemu watu watakubambikia kesi za uhujumu uchumi na kodi za uongo! Anyways kwa Sugu kuwa tu na ushkaji na akina Geofrey Mungai ni support kubwa sana kwake wale ni wafanyabiashara wakubwa sana nyanda za juu kusini....
 
Sugu ana biashara gani wewe zaidi ya kushinda kwenye kale ka-hotel?
 
Kuna wenye weledi wa Mwekezaji anayetumia jina la MERU na mwingine USANGU je hawa ni watanzania?maana wanayoyafanya hapo zambia,Botswana na SA yanatisha.
 
Back
Top Bottom