Bilionea kama Bilionea.View attachment 1753657
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji.
Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo Zambia, Malawi na South Africa, hata hivyo ameahirisha mpango huo baada ya kusikia maneno kutoka kwa Rais mpya aliyesisitiza wawekezaji kutendewa haki .
Sasa tuendelee kusikilizia kama yanayosemwa na Mh Rais ndio yatakayojiri.
Usiumie mkuusugu hana uwezo kuhamishia biashara south hata siku moja, hata uwezo wa k u jenga hotel nyingine kama ile hana. mikopo ya ubungeni ambao sasahivi hana ndio ilimwinua, hana hela kiufupi, asitishe watu.
siumii, namfahamu. tulikuwa tunaomboleza naye kipindi kile wanataka kubomoa hotel kisa ipo kwenye mkondo wa chanzo cha maji, tukijua amekopa mikopo atafanyeje ndugu yetu. atulie wenye hela waongee yeye bado anadanga.Usiumie mkuu
Si maongo. Hata mimi nimeshangaa.Hiyo mbona ni Mount Royal Hotel ya Iringa
Desderia hotel hongereni!
Huyo ndio tajiri namba 2 wa Chadema wa kwanza ni Nyalandu!
Kwani sisi tumesemaje ?Si maongo. Hata mimi nimeshangaa.
HakikaBillionaire sugu akiondoka Mbeya, uchumi utayumba sana
umasikini ni laanaSugu ana biashara gani zaidi ya kale kahotel alikokopea mil700?? Au kuvuta mineli nayo biashara?
Mama mitano tena atake asitake
Alisikika mlevi mmoja akiwa amepata kachasa akimsifia jocye banda enzi hizo
Acheni siasa za kiki nyie nyumbu. Ni uonevu gani serikali ilifanya dhidi yake? Uonevu pekee ambao ulikuwa mbioni kufanyika, maraehemu JPM aliingilia kati ukaisha.Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji.
Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo Zambia, Malawi na South Africa, hata hivyo ameahirisha mpango huo baada ya kusikia maneno kutoka kwa Rais mpya aliyesisitiza wawekezaji kutendewa haki .
Sasa tuendelee kusikilizia kama yanayosemwa na Mh Rais ndio yatakayojiri.
Sema Viva HayatiAcheni siasa za kiki nyie nyumbu. Ni uonevu gani serikali ilifanya dhidi yake? Uonevu pekee ambao ulikuwa mbioni kufanyika, maraehemu JPM aliingilia kati ukaisha.
Nilimsikia bungeni siku moja akiilaumu serikali kudhibiti posho na safari kwamba hatua hiyo iliathiri sekta ndogo ya hoteli na yeye akiwa mdau. Pia siku ile aliilaumu pia serikali kwa kusitisha warsha na makongamano kwenye kumbi binafsi pale ambapo kuna kumbi za umm kuwa kunadhoofisha sekta!
Huyu mwamba namkubali sana kwenye harakati za mziki. Ila kwenye siasa huwa sioni kama anatofautiana sana na nyumbu wengine. Mwambieni aache kiki. Huko Malawi anakotaka kuenda nako serikali imeamka na "wawekezaji wanaotaka kudekezwa" nao wameanza kulialia.
Viva JPM
tunaingea na mfuu????Sema kingine, hiyo nilisha kunywa.
Mbona haraka ya kuandika hadi unasahau herufi!tunaingea na mfuu????
Utshukumiwa kwa kosa la kujituksna