Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Huu uzi naona umerudi
Ulipostiwa ukapotea ghafla

inasikitisha mno!

Mlipa kodi Ramadhani Ntunzwe, alidhulumiwa na TRA mpaka akaishia kaburini.

Corrupted government!!!

KARMA will serve them all involved.

-Kaveli-
 
  • Masikitiko
Reactions: K11
Wnamtafutia kesi ya uhujum uchumi. Whether ni kweli amehujum au la. Lakini atanyea debe kwa kukosa dhamana. Na hzip pesa wkafanyie kampeni. Si unajua mwaka huu hawana pesa za matajiri??

Mkuu, TRA walimfungulia kesi ya uhujumu Uchumi huyu mtu waliomdhulumu?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom