Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?


Jamaa hua hawana huruma


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama hawatimiza amri ya Majaliwa na kumdharau Amri jeshi mkuu hapa wakulaumiwa ni Makonda na IGP Siro.

Sent using Jamii Forums mobile app

Makonda alikua anapigiwa simu na kuandikiwa meseji hakupokea ingekua ni masuala ya matukio ya makamera haraka angepokea ubusy gani simu kapigiwa karibu mara 20


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
KAMISHNA MKUU hafai kuwa kiongozi mkuu wa trakwani analinda wenzake wezi huku snajua ni ishu siriasi na raisi anajua
 
KAMISHNA MKUU hafai kuwa kiongozi mkuu wa trakwani analinda wenzake wezi huku snajua ni ishu siriasi na raisi anajua

Wanaviburi sana nachofahamu kwa usumbufu anaopitia Ramadhan naamini kwa mwingine angeshahama nchi mapema sana na kufanyia shughuli zake huko nchi nyingine


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watoza ushuru hata kwenye bible wameandikwa wamejaa laana.
Huu mfumo wa zulma uliasisiwa na CCM kwa hiyo TRA, POLISI TZ, MAGEREZA ,Na taasisi chungu mzima zimepewa nguvu na hii awamu ya tano ya muheshimiwa

Ili tuondokane na haya mateso ni lazima tung'oe CCM na tuitokomezee mbali na makazi ya Watanzania.
 
Ndio yeye yule wa mtaa wa congo na kariakoo ambae walimuomba rushwa akakataa


Sent from my iPhone using JamiiForums
nilivyosoma nilimuonea huruma anadai alishalipa kila kitu na risiti alikuwa nazo lakini wao hawakumsikiliza
 

Anajua sana kujieleza lakin nimeamiani,watendaj wengi sana wanaishi kwa uonevu,haki haipo.

Kwanini serikali imenyamaza kutatua tatizo lake?
Wakat ushahid wote upo?
Ningekuwa rais hakika hawa wote waliomfanyia hivi huyu jamaa wote jera kwanza...
 
uwiii! Lazima mke apate kichaa jaman, kuna watu wanapenda kuwaharibia watu maisha, wamemfanyia dhuluma baba wa watu
 
Wanasemaga kamata mkubwa wao. Rais apige tu lile baba lao huku chini watajipanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza jazba,amefanya nini huyo bosi wako
 
rais wetu mpendwa ameonyesha dhairi vile ambavyo anataka uchapakazi, weredi, uadilifu na uaminifu kwa watendaji wake.

ntunzwe ameonyesha uungwana na uzalendo wa hali ya juu, kwa masaibu aliyopitia ni sawabu kwa yeyote atayekaye hakikisha hili jambo lina mwisho mzuri.

ni imani yangu rais hatokubali agizo lake lidharauliwe kwa kiwango hiki, nina uhakika waziri mkuu hatokubali kudharirishwa kiasi hiki na watendaji wake


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Jamaa wapuuzi sana.... Ndio maana kazi ya TRA naiona kama kazi ya laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
mamlaka ya mapato ipo kwaajili ya kunyonya wafanya biashara,Yani hata wakikupa makadirio hawakushirikishi na hata ukiwauliza mbona wamekupa makadirio makubwa yani hawakuskilizi wala hawakuangalii wanakuona kama takataka,
Leseni yangu ilikua ya R/shop lkn wakanipa makadirio makubwa utadhani ni hard ware,yani duka limejaa jick tu na dawa za miswaki alafu nilipe mapesa yote hayo,,nikauza duka pamoja na mlango wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…