Mfanyabiashara Raphael O. Ongangi atekwa na watu wasiojulikana! Ni aliyekuwa Msaidizi wa Zitto

Nimeileta taarifa kama ilivyo ambayo imetoka kwenye chombo cha habari, wewe pia leta habari zinazokana utekwaji huo.....
Mnakokwenda hakufai, rekebisheni mapema.
Hakuna watu wapumbavu kama watanzania East and Central Africa, kila siku yanatekwa Kama Punda halafu yanajiita nchi ya amani ndo maana niliamua kuomba uraia wa Australia, kuliko kukaa na hizi Punda
 
Amechukuliwa kidogo tu atarudi
 
Atakuwa kagoma kutoa mchango pesa ya kampeni ya Chama kubwa.
 
Zitto atueleze huyo mkenya alikuwa mshauri wake kwa Mambo gani Kama siasa imekula kwake hakuna nchi inayoruhusu raia wa kigeni kuangilia Mambo ya ndani ya nchi husika
TRA wataibuka kuwa walikuwa wamemweka kizuizini kumhoja maswala ya kodi. Laanaturah awamu ya tano.
 
Mshauri wa nini tena? Wa biashara? Kama ni siasa mbona siyo mtanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…