Mfanyabiashara Raphael O. Ongangi atekwa na watu wasiojulikana! Ni aliyekuwa Msaidizi wa Zitto

Mfanyabiashara Raphael O. Ongangi atekwa na watu wasiojulikana! Ni aliyekuwa Msaidizi wa Zitto

Inakuaje mkenya ajihusishe na siasa mpaka kufikia kuwa mshauri wa kiongozi wa chama cha upinzani!!
Huyu ni wa kufukuzwa kama Bashir Awale wa stanbic bank
 
MK254
Hili eneo la jijini Dar-es-Salaam, Tanzania la Makutano ya barabara za Karume na Msasani ambapo pana shule kubwa ya Oysterbay yenye mamia ya wanafunzi wa watoto wa vigogo, Makazi makubwa ya Raia wa kiChina, makazi ya mabalozi kadhaa, nyumba za viongozi wa juu Tanzania zipo karibu kabisa na shule hiyo basi huyo raia wa Kenya aliyepatikana na tukio hilo anaweza kuwa mikononi mwa 'mikono salama'.

Tusubiri vyombo vya dola vya Tanzania vifanye kazi yake na kutoa taarifa kwa umma wa Tanzania na wageni waishio Tanzania ikiwemo familia ya huyu ndugu wa Kenya.
😂😂😂😂😂 Vyombo vya "dollar" labda.
 
nashauri wakenya muanzishe campaign maalumu ya kutaka huyo jamaa apatikane akiwa hai.

pazeni sauti zenu dunia yote ijue. fanyeni kama sisi watz tulivyopiga kelele kuhusu kauli ya jaguar.

vinginevyo anaweza asipatikane. tz ya jiwe sio ya kikwete.
MK254 fanyia kazi ushauri huu bila kuchelewa!
 
Do we got mafias in town?? Does the Gov. even care?do thy normalized t...
If one Person is not safe we all not safe!!
 
Three gunmen with three cars and two motorcycles - How were they driving them if at all they were only three!? Uongo mwingine bhana!
Kwani umeambiwa three people or three gunmen. Kwani haiwezekani kwenye magari na motorcycles kukawa na other people lakini walioshuka na kuonekana wakawa three gunmen?
Kwani umeambiwa hiyo s5atement ni matokeo ya upekelezi au ni taarifa ya mashuhuda, mashuhuda wataongea mengi hata ili mradi yalionekana kwenye mazingira ya tukio lakini ni matokeo ya uchunguzi yatskayoonsema kama kila kilichohusishwa ni kweli kinahusika au lah!
 
Haya sasa ngoma imepanda kigogo chapili huu moto taratiibu unazidi kupamba
 
Duh kumbe upinzani wanatumiwa na mataifa ya nje kuvuruga amani yetu??
 
Kwani umeambiwa three people or three gunmen. Kwani haiwezekani kwenye magari na motorcycles kukawa na other people lakini walioshuka na kuonekana wakawa three gunmen?
Kwani umeambiwa hiyo s5atement ni matokeo ya upekelezi au ni taarifa ya mashuhuda, mashuhuda wataongea mengi hata ili mradi yalionekana kwenye mazingira ya tukio lakini ni matokeo ya uchunguzi yatskayoonsema kama kila kilichohusishwa ni kweli kinahusika au lah!
Neno hapo linaloleta utata kama unajua lugha ya kingereza vizuri ni "WITH" kama angeweka "IN" basi ingeeleweka kama unavyoelezea wewe. Hilo tu.
 
Neno hapo linaloleta utata kama unajua lugha ya kingereza vizuri ni "WITH" kama angeweka "IN" basi ingeeleweka kama unavyoelezea wewe. Hilo tu.
Sasa kama wewe unaona kwamba 'IN' ndiyo ingeeleweka, itaelewekaje ikiwa utasomeka Three gunmen 'IN' three cars and two motorcycle? Kwa kiingereza chako hiyo ndiyo unaona inaeleweka.
Hujui kuwa inawzekana ikawa 'one men can be with ten cars?'
 
Huyo mkenya kwa nn awe mshauri wa zito ktk maswala. ya kisiasa wakati ni raia wa kigeni kifungu kipi kinaruhusu ushenzi Kama huu.
 
Sasa kama wewe unaona kwamba 'IN' ndiyo ingeeleweka, itaelewekaje ikiwa utasomeka Three gunmen 'IN' three cars and two motorcycle? Kwa kiingereza chako hiyo ndiyo unaona inaeleweka.
Hujui kuwa inawzekana ikawa 'one men can be with ten cars?'
One man siyo one men
 
Aisei... ndio mshakua Nigeria kabisa maana kule hata rais wao anawaogopa sana hao wasiojulikana.

Hawa watakuwa wamedhulumiana na wenzake kwenye biashara zao. Wamemchukua wakampatie kaadhabu ili arudishe fedha aliodhulumu
 
Back
Top Bottom