Mfanyabiashara Raphael O. Ongangi atekwa na watu wasiojulikana! Ni aliyekuwa Msaidizi wa Zitto

Nilishawahi kusema humu na narudia tena!
Huu utekaji unafanyika kuna siku watu watachukulia advantage na wao wawateke watu wanao wakusudia kwenye mizinguano ya kibiashara na ya ktk maisha!

Ova

Mrangi ni sahihi..ila huyo jamaa ana moyo kweli
 
Mfanyabiashara wa jijini Dar, Raphael O. Ongangi anadaiwa kutekwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Juni, 2019 na watu wenye silaha akiwa anaelekea nyumbani kwake maeneo ya Masaki.

Raphael alikuwa mshauri wa karibu wa ndugu Zitto kabla ya Uchaguzi Mkuu 2015.

Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wake, Mambosasa limedai linachunguza tukio hili.

View attachment 1139200
Pichani ni Raphael Ongangi
====

A Kenyan businessman is missing after he was abducted by unknown people in Dar es Salam, Tanzania.

Mr Raphael Ongnagi was abducted on Monday at the intersection of Msasani and Karume Road in Oysterbay neighbourhood by three gunmen who had three cars and two motorbikes.

His wife Veronica reported to the local authorities and Kenyan High Commission about the incident.

Ongangi has been running a transport business between Dar es Salam, DRC Congo, Zambia and Rwanda.

Kenyan High Commissioner to Tanzania Dan Kazungu confirmed the incident and added they are working with local authorities to solve it.

“We are aware of the incident and the mission is seized of the matter. The mission is working around the clock and will be sharing progress reports of this matter,” he said.

The motive of the incident is yet to be established. It is not clear if the abductors had contacted the family of the victim with demands.
Umekose kidogo kwenye heading, hao watu wanajulikana wataje tu, au unavunga huwajui watu wasiojulikana?
 
Mfanya biashara w Tanzania ni hatari kumshauri mwana siasa. Yeye katoka Kenya halafu haoni shida. Hivi waafrika wanakubali mambo hayo kweli? Mfano wewe nenda Kenya kamshauri Ruto au Odinga🤣🤣🤣🤣🤣
Duh utakula shaba ukatapotua airport tu [emoji23][emoji23]

Ova
 
MK254
Hili eneo la jijini Dar-es-Salaam, Tanzania la Makutano ya barabara za Karume na Msasani ambapo pana shule kubwa ya Oysterbay yenye mamia ya wanafunzi wa watoto wa vigogo, Makazi makubwa ya Raia wa kiChina, makazi ya mabalozi kadhaa, nyumba za viongozi wa juu Tanzania zipo karibu kabisa na shule hiyo basi huyo raia wa Kenya aliyepatikana na tukio hilo anaweza kuwa mikononi mwa 'mikono salama'.

Tusubiri vyombo vya dola vya Tanzania vifanye kazi yake na kutoa taarifa kwa umma wa Tanzania na wageni waishio Tanzania ikiwemo familia ya huyu ndugu wa Kenya.
 
Zitto hujivunia uchawi hebu tuuone sasa hapo.

Halafu hii propaganda ya kijinga unatekaje house boy badala ya mwenye nyumba?
 
huyu atakuwa amekwenda kutafuta maisha mahala au atakuwa kwa mchepuko.. Huwa majibu yetu rahisi sana kwa issue serious..
 
Kama anahatarisha usalama wa nchi yangu sijali ni nani.
 
Hakuna watu wapumbavu kama watanzania East and Central Africa, kila siku yanatekwa Kama Punda halafu yanajiita nchi ya amani ndo maana niliamua kuomba uraia wa Australia, kuliko kukaa na hizi Punda
Punda lazima azaliwe na punda jike na punda dume.

Vipi hao punda jike na dume wote wanapundika huko Australia??????????...
 
Mfanyabiashara wa jijini Dar, Raphael O. Ongangi anadaiwa kutekwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Juni, 2019 na watu wenye silaha akiwa anaelekea nyumbani kwake maeneo ya Masaki.

Raphael alikuwa mshauri wa karibu wa ndugu Zitto kabla ya Uchaguzi Mkuu 2015.

Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wake, Mambosasa limedai linachunguza tukio hili.

View attachment 1139200
Pichani ni Raphael Ongangi
====

A Kenyan businessman is missing after he was abducted by unknown people in Dar es Salam, Tanzania.

Mr Raphael Ongnagi was abducted on Monday at the intersection of Msasani and Karume Road in Oysterbay neighbourhood by three gunmen who had three cars and two motorbikes.

His wife Veronica reported to the local authorities and Kenyan High Commission about the incident.

Ongangi has been running a transport business between Dar es Salam, DRC Congo, Zambia and Rwanda.

Kenyan High Commissioner to Tanzania Dan Kazungu confirmed the incident and added they are working with local authorities to solve it.

“We are aware of the incident and the mission is seized of the matter. The mission is working around the clock and will be sharing progress reports of this matter,” he said.

The motive of the incident is yet to be established. It is not clear if the abductors had contacted the family of the victim with demands.
Three gunmen with three cars and two motorcycles - How were they driving them if at all they were only three!? Uongo mwingine bhana!
 
Mwana biashara huyo ambaye hufanya shughuli za kusafirisha mizigo baina ya Dar na mataifa jirani kama Zambia, DRC na Rwanda, ametekwa nyara na kundi ambalo huogopwa sana kule linafahamika kama 'wasiojulikana', ambao walikua na magari matatu na pikipiki mbili.
--------------------------------------------
A Kenyan businessman is missing after he was abducted by unknown people in Dar es Salam, Tanzania.
Mr Raphael Ongnagi was abducted on Monday at the intersection of Msasani and Karume Road in Oysterbay neighbourhood by three gunmen who had three cars and two motorbikes.

His wife Veronica reported to the local authorities and Kenyan High Commission about the incident.

Ongangi has been running a transport business between Dar es Salam, DRC Congo, Zambia and Rwanda.
Kenyan High Commissioner to Tanzania Dan Kazungu confirmed the incident and added they are working with local authorities to solve it.

“We are aware of the incident and the mission is seized of the matter. The mission is working around the clock and will be sharing progress reports of this matter,” he said.

The motive of the incident is yet to be established. It is not clear if the abductors had contacted the family of the victim with demands.

nashauri wakenya muanzishe campaign maalumu ya kutaka huyo jamaa apatikane akiwa hai.

pazeni sauti zenu dunia yote ijue. fanyeni kama sisi watz tulivyopiga kelele kuhusu kauli ya jaguar.

vinginevyo anaweza asipatikane. tz ya jiwe sio ya kikwete.
 
Duuh inawezekana zikawa Siasa za Jaguar pia,kubalance story(nawaza tu)
 
Wabunge wa Kenya wala msiwalaumu kwa mambo haya yanayoendelea hapa nchini.
 
wakimalizana nae huku walipo waka mtupe namanga maana kule bungeni kenya yule bashe wao ametutishia maisha waTZ tuliopo kenya, na baada ya hapo wa mtafute yule CEO wa ile bank aliyo itaje bashe wa kenya, Serekali ya TZ ipo kulinda wa TZ sio hii takataka ya kenya period. WaTZ wamejaa tele zito kabwela hawaoni mpaka akashauliwe na hawa mungiki pathetic
 
Back
Top Bottom