Hasa wazinzi sio mtu yoyotePumzika kwa amani mouganaji. Haya mambo yanaweza kumpata mtu yoyote wakati wowote
watoto/vijana unexperienced ndyo wachepuke?Aibu mtu mkubwa anachepuka .
Kweli miaka hiyo Mimi nikiitwa injini kiuno,Sasa hivi kalasii!Nyapu imezima kidume!" ! Nasikikiaga watu wazima 50+ performance hushukami sana., sasa mtu anatumia madawa kujibust, ili aendane na kasi ya mtoto wa elfu 2, mwisho wa siku presha inamchukua
Miaka 52 unachepuka ni ushamba .watoto/vijana unexperienced ndyo wachepuke?
Sababu ya sheli na Bera,shika matiti ya mwana!Habari za watu kufia gesti zimeongezeka sana..
60mbona wanchepuka!Miaka 52 unachepuka ni ushamba .
Mchaga ametuzalilisha sana Bora angefia na mwenye miaka 30+Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.
Kwa habari hizi mara mfanyahiashara katekwa, mara mfanya biashara kaua.Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.
Kama akiwa hana background ya mazoezi, or alikuwa mtu wa kukaa tu lazima mtambo utepeteNyapu imezima kidume!" ! Nasikikiaga watu wazima 50+ performance hushuka sana., sasa mtu anatumia madawa kujibust, ili aendane na kasi ya mtoto wa elfu 2, mwisho wa siku presha inamchukua