Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

Mchaga ametuzalilisha sana Bora angefia na mwenye miaka 30+

Nzi kafia kidondani
 
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

Kwa habari hizi mara mfanyahiashara katekwa, mara mfanya biashara kaua.

Ngoja tuone.
Salome ana jina moja?
 
Back
Top Bottom