Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Mnamshambulia kama vile kafanya jambo geni sana,kwani hilo tatizo lisingemfika hata angekuwa na mkewe wa ndoa?.
 
Ww umejiishia acha kabisa hiyo michezo
Kwa kweli Mkuu, maana last time niliwahi kujaribu na kabinti ka Mwaka 2000

Bila binti wa Mapokezi kuja kunipa msaada, leo hii Wajukuu zangu wangekuwa wanaongea lugha nyingine kuhusu Babu yao 😜
 
Acheni kuwalaum ke kila mtu ale kwa urefu wa pumzi yake 🤣🤣🤣 ukitaka kukoleza moto kwa hisani ya alkasusu matokeo yake ndio hayo.
Ndiyo maana nimewashauri Wazee wenzangu, Kwa huu umri tulionao tubakie kula Kwa macho tu 🤗
 
Pamoja na hayo, lakini hiyo pumzi Kwa Wazee wa Umri wangu tunaitolewa wapi kama sio kufa kama huyo mwenzetu 🤗
1740908109032.png
 
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

Alikuwa anafanya matusi au ????
 
salome noma!!
 
Viagra 100gram😭😭😭
 
Back
Top Bottom