Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Me wengi kuanzia 50 huwa wanalazimisha tu hayo mambo ya kutaka wasichana wadogo.

Wengi hali zao si hali.
Swala si kulazimisha🤣 hivi wewe unawajua wanawake wenye umri wa 50 plus walivyo?!
Mwanamke anakuwa kazeeka balaa ngozi ishatepeta wengine na maunene yanakuwa yamezidi kiwango yani very out of propotion.

Mbali na yote K zinakuwa zimelegea misuli kama unagonga kopo la maji.Siku jaribu kujaza kopo la kuogea maji yawe vuguvugu kisha dumbukiza mashine ndani ya lile kopo halafu uone utavyojiskia ndio Qouma ya mwanamke wa 50 plus ilivyo.

Vitoto vya elfu 2 Qouma zao zipo taiti yani unaifeel mashine imekamatwa vizuri kadri unavyopiga manyama nje manyama ndani.
 
Ni wachache wenye huo mtazamo

Kuna Mzee wa miaka 56 nilikuta anaagiza vumbi la Kongo Kwa jamaa mmoja alikuwa dereva wa maroli ya kwenda Congo 🙌

Yaani watu hawana huruma na afya zao kabisa
Sasa si aheri vumbi linatia ganzi ili uinjoy kukaa hewani muda mrefu. Haliumizi moyo vumbi.
 
Ukivuka tu 35 zingatia haya:

1. Jua BP yako ikoje
2. Jua sukari yako ikoje
3. Jua cholesterol yako ikoje
4. Jua moyo wako ukoje
5. Jua Cardiovascular system yako ikoje
6. Jua peak ya mapigo yako ya moyo
7. Pata ushauri wa daktari kabla ya kumeza viagra au booster nyingine

Miaka 78 sasa. I have lost more than 6 close friends kwa ujinga huu wa kufakamia viagra bila kupima presha na cardiovascular systems. RIP Rafiki yangu mzee Guga wa Bariadi. RIP Mzee Sayi wa Misungwi kwa mshtuko wa moyo siku ile ukihangaika na Amina...Aaaaargh! So painful!
Muhimu sana mkuu😄 bila kufuatilia moyo unaweza dedi kwenye maviagra.
 
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

Familia za wahusika huwa zinapokeaje hivi taarifa za baba, mme, babu zako kufia gesti na binti labda mchepuko?
 
Kusema kweli Mungu atusaidie Wanaume, yaani tunatumia nguvu nyingi kumridhisha Mwanamke ambaye inawezekana tumetumia hela nyingi kumpata

Hela ya kwako na bado uhangaike kumridhisha 🙌
Acheni kuwalaum ke kila mtu ale kwa urefu wa pumzi yake 🤣🤣🤣 ukitaka kukoleza moto kwa hisani ya alkasusu matokeo yake ndio hayo.
 
Ni heri nisipige papa kama imefikia hatua ya kujiboost, au nipige chini ya kiwango. 40+ Me unatakiwa uijali afya yako kwanza.

Huko lodge ukifikiria risks unaweza usiende, maana hata binti anaweza kufia huko, sijui utaambia nini familia yako.
Upige papa chini sasa utafanya shughuli gani hapa duniani?
 
Imenikumbusha hayati MC Lema wa Moshi. Kwa mujibu wa yule manzi ni kuwa MC Lema alikufa wakati akiwa kapewa doggystyle. Kifo cha Lema kilitikisa sana Arusha na Moshi.
Hata huyu itakuwa hiyo hiyo 🐕 imemtoa uhai maana nasikia dozi yake ni kalee hapewi mtu hadi awe na vithibitisho toka kwa doctor kuwa 🤣🤣🤣 hana pressure wala kisukaree
 
Mimi kwenye miaka yangu ya 20s nilikuwa sipeleki moto sana. Ila kadiri ninavyozeeka moto napeleka balaa.
 
Ukivuka tu 35 zingatia haya:

1. Jua BP yako ikoje
2. Jua sukari yako ikoje
3. Jua cholesterol yako ikoje
4. Jua moyo wako ukoje
5. Jua Cardiovascular system yako ikoje
6. Jua peak ya mapigo yako ya moyo
7. Pata ushauri wa daktari kabla ya kumeza viagra au booster nyingine

Miaka 78 sasa. I have lost more than 6 close friends kwa ujinga huu wa kufakamia viagra bila kupima presha na cardiovascular systems. RIP Rafiki yangu mzee Guga wa Bariadi. RIP Mzee Sayi wa Misungwi kwa mshtuko wa moyo siku ile ukihangaika na Amina...Aaaaargh! So painful!
Bora uwaambie wengi wanang'ang'ana eti umri alikuwa bado ila ni ajali kazini.
 
Shida inaanza kutaka mridhisha binadamu badala ya kujiangalia wewe na afya yako.
Binafsi nilishasema siwezi mridhisha mwanamke, daima nitajifikiria mimi kwanza.

Viagra ukitumia unaweza hisi una tatizo la macho
Kauli za wazee hizi
 
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina Salome.

kichwa cha habari; MBOWE AFIA GUEST NA BINTI MIAKA 27
 
Back
Top Bottom