RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Vijana hawajui umri huo wengi akili zimetulia kazi ni moja tu kupumzika.Kwenye 50+ ndo wanapatikana akina Baltazary.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana hawajui umri huo wengi akili zimetulia kazi ni moja tu kupumzika.Kwenye 50+ ndo wanapatikana akina Baltazary.
Wanasema inakamua na kusukutuaKusema kweli katika vitu naogopa kufanya ni kushiriki ngono Kwa usaidizi wa Viagra ama dawa za kuongeza nguvu za kiume
Kwani ukipiga kimoja cha sekunde 25 unakuwa hujainjoi 🤗
Miaka 52 ni mzee?huwa nasema kwamba uzee ndo muda halali wa kufanya punyeto,
wazee wengi wana zile hisia lakini nguvu ya kazi hawana, na magonjwa hatarishi juu,
inaweza onekana mzaha ila wazee wapige nyeto tu, waachane na wanawake.
Hatari sana Mkuu 🙌Wanasema inakamua na kusuuza
Wengi wao hawajui mzee,kijana na mtu mzima.Wao wakiona mtu yupo kuanzia 32 wanasema ni mzee,na unakuta abayesema hivyo yupo miaka 27 au 26.Vijana hawajui umri huo wengi akili zimetulia kazi ni moja tu kupumzika.
Mostly uwezo unapungua kulingana na factor flani flani mfano ishu ya msosi, mazoezi, majukumu ya mtu kwa ujumla, BP nk ! Ngoja tukifika huko tutaonaKwenye 50+ ndo wanapatikana akina Baltazary.
Vijana wanatakiwa wajifunze kula vitu vizuri mapema ili ikifika umri huo unapiga vitu kistuff🤝Kusema kweli katika vitu naogopa kufanya ni kushiriki ngono Kwa usaidizi wa Viagra ama dawa za kuongeza nguvu za kiume
Kwani ukipiga kimoja cha sekunde 25 unakuwa hujainjoi 🤗
Waandishi wa habari wa siku hizi hawajui vitu magazeti ya Shigongo yalikuwa yanaandika kuteka atension enzi hizo😀😀😀Mbowe afia guest 🤣🤣🤣🤣 mbowe huyu huyu au
📌Ujanani hakuzichapa kisawasawa alikuwa anatafuta hela.Sa mtu ka huyo anahangaishwa na nini?
Si bora atulie tu aachie vijana hiyo michezo. 🤣🤣
Kijana unataka wazee waandamane mpaka Ikulu chamwino kwenda kushtaki kwa rais.Acheni kuwanyanyapaa😂😂😂huwa nasema kwamba uzee ndo muda halali wa kufanya punyeto,
wazee wengi wana zile hisia lakini nguvu ya kazi hawana, na magonjwa hatarishi juu,
inaweza onekana mzaha ila wazee wapige nyeto tu, waachane na wanawake.
Mbona kawaida tu, na vitoto vyenyewe hata haviogopi cku hizi, utasikia dady uko wapi nimekumissSasa Mbowe 52- demu 27=25 dah!
Nini kilimkuta huyu Mmachame?
Naunga mkono hojaVijana wanatakiwa wajifunze kula vitu vizuri mapema ili ikifika umri huo unapiga vitu kistuff🤝
Haya mambo ya kukamia mbususu na mtu yuko 50yrs plus ni kutafuta kudhalilisha familia yako na kudhalilisha ukoo.
Kwa sasa uko na familia ya huyu mwamba ipo na machungu namna mbili😣😣😣
Miaka hamsini ni lizee kabisaNashangazwa na baadhi ya comments za walio wengi.......yaani mtu anamuona mtu wa miaka 50 ni mzee sana........
Miaka hiyo hana uzee wowote tena ukiwa unajitunza mpaka utakuwa unawashangaa wenzako uliosoma nao......
Mtu wa miaka 50 ukiona una experience upungufu wa nguvu za kiume usisingizie umri....nenda katafute mapema.....wewe ni mgonjwa......
Watu wana miaka 70 lakini bado wapo active kwenye service... itakuwa wewe wa miaka 50......
Tatizo vijana wanaimaliza na kuichakaza sana miili yao kwa anasa za pombe Kali, mavyakula mabovu, masigara......na mtu anaweza hata kukaa mwaka hajawahi kufanya kazi ya kumtoa jasho.....
Akipanda ngazi anashikilia balcony kama kiwete.......
Kijana amka fanya mazoezi chunga afya yako.......
Umri huo mikoa ya kusini na Songea watu wanawaza kuongeza mke......
Vijana wa mjini wameharibika Sana........
"LIZEE KABISA"Miaka hamsini ni lizee kabisa
Acheni denials