HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Shida inaanza kutaka mridhisha binadamu badala ya kujiangalia wewe na afya yako.Kusema kweli katika vitu naogopa kufanya ni kushiriki ngono Kwa usaidizi wa Viagra ama dawa za kuongeza nguvu za kiume
Kwani ukipiga kimoja cha sekunde 25 unakuwa hujainjoi 🤗
Binafsi nilishasema siwezi mridhisha mwanamke, daima nitajifikiria mimi kwanza.
Viagra ukitumia unaweza hisi una tatizo la macho